Gym si salama tena kwa wake zenu

Gym si salama tena kwa wake zenu

Hapa mjini kila kitu na kila sehemu watu wanatumia kama fursa ya kugegedana, iwe saloon, iwe massage parlours... nk

Vijana wa mujini siku hizi wanagegeda wake zenu kwenye GYM, mke wako anaondoka asubuhi saa kumi na moja anachukua gari anasema anaenda gym kupunguza mwili kumbe anaenda kugegedwa.

Akifika mapemaaaaa, anagegedwa akimaliza anakuwa mwepesiiiiiiiiiiii, anachukua gari anarudi nyumbani. Mda huo bado baba naniu umelala tu kitandani.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Bwana philosofa huyo anakuwa na lake jambo! Uache rungu kitandani eti unatafuta fimbo mbali kuulia nyoka ata ukikuta nyoka kasepa umetaka mwenyewe. Na ujue ata bila gym angevizia umesafiri.
 
Last edited by a moderator:
Itafika mahali mtasema kanisani si salama,kazini si salama,sokoni si salama heeee....hadi hospitali/kliniki mtasema si salama. Omba Mungu mkeo awe na breki ya kuvua kyupi vinginevyo hata humohumo ndani ataliwa tu....
 
Mi huwa nashinda gym sana, siku za kazi jioni na siku za mapumziko alfajiri!! Mi nimeona wanawake tofauti tofauti wanatafunwa but sijui kama ni wake za watu au lah!! Ninachofata mimi ni mazoezi na si kujua nani kaoa au kaolewa!!

Tatizo, mabinti wanatafuta mteremko!! Kulipa 3000/ kila siku kwa mwanachama na 5000/ kwa asiye mwanachama wanashindwa so ili waendelee kuhudhuria wanajipeleka kwa owners na waalimu!! Kwa huyu sidhani kama ni mke wa mtu anayepata support ya mumewe

Siyo asubuhi, asubuhi wanawake huwa katika gym niliyopo hawafiki but jioni! Jioni ndiyo huwa wanatumbuliwa saaana!! Ila kitu kingine nilichogundua ni kwamba unakuta lady anafanya sana mazoezi but mwanaume wake hafanyi mazoezi so binti anakuwa na stamina sana kuliko mwananume kunako sita kwa sita!! Kinachofuata ni kutokuridhishwa na hivyo kuanza kujitongozesha kwa watu wa gym!

Pia, kampani ya kuja na kurudi gym hahahaaaaaa!! Nimefurahi coz watu wanaanza kukimbia saa mbili toka gym kuelekea home madai yao zoezi then wanapita geto kwa mshikaji anakamuliwa fasta then analetwa home wee mwanaume mzima upo tu unaangalia tv ukijua ni kampani ya mazoezi tu!! Mnaliwa
 
yaani uchunguzi wako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Acha wivu wewe, mwanamke anajichunga mwenyewe ... huwezi kumchunga.

...mkuu kijana kaleta taarifa tu wanavyo wagegeda wake za watu, so ukiona manyoya mnyonyoe wa kwako kabsaa ili wasimkute na manyoya...
 
hata akiliwa, hakiishi kile... atarudi tu bandani kwake jioni!!! strees za nini kuku wako, manati tupa kuleee
 
Hapa mjini kila kitu na kila sehemu watu wanatumia kama fursa ya kugegedana, iwe saloon, iwe massage parlours... nk

Vijana wa mujini siku hizi wanagegeda wake zenu kwenye GYM, mke wako anaondoka asubuhi saa kumi na moja anachukua gari anasema anaenda gym kupunguza mwili kumbe anaenda kugegedwa.

Akifika mapemaaaaa, anagegedwa akimaliza anakuwa mwepesi, anachukua gari anarudi nyumbani.

Mda huo bado baba naniu umelala tu kitandani.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Sio wote wanawake wa mbagala na walokosa elimu.Mtu mwenye elimu yake hawezi kutembea na vinuka mkojo vya gym.Waswahi wanapenda kutiwa ovyo kama kuku
 
Hapa mjini kila kitu na kila sehemu watu wanatumia kama fursa ya kugegedana, iwe saloon, iwe massage parlours... nk

Vijana wa mujini siku hizi wanagegeda wake zenu kwenye GYM, mke wako anaondoka asubuhi saa kumi na moja anachukua gari anasema anaenda gym kupunguza mwili kumbe anaenda kugegedwa.

Akifika mapemaaaaa, anagegedwa akimaliza anakuwa mwepesi, anachukua gari anarudi nyumbani.

Mda huo bado baba naniu umelala tu kitandani.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

JF stories, hata mke kama anafanya kazi huko Ikulu kama kuzini ni hulka yake atazini. Hata ukimwacha nyumbani kama ni mhuni wa ngono atazini tu.
 
migegedo sasa imekaa pabaya mpaka gym kwaiyo yale mauchovu wanayorudigi nayo yanakua ni mixt
 
Itafika mahali mtasema kanisani si salama,kazini si salama,sokoni si salama heeee....hadi hospitali/kliniki mtasema si salama. Omba Mungu mkeo awe na breki ya kuvua kyupi vinginevyo hata humohumo ndani ataliwa tu....

Umenena kula tano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom