Gym si salama tena kwa wake zenu

Gym si salama tena kwa wake zenu

Nakubaliana na hilo. Mwanawake wanaweza kutumia chance hiyo kufanya uovu.
 
Baba timiza wajibu wako kila idara uwone kama mkeo hajatulia bandani
 
I dearly love cause you know and you do take care of your own. You are the only one who can protect YOU against these dengue aides(es)... I strongly believe in you... Please uwali leo mupenzi eeh!!!!

Luv u baby!! I'll be there for you anytime u need me. :hug:
 
Ni shiidah kule full michepuko sema majaribu huwa yanazidi kipimo kuna siku nilikuwa nje pale gym ya chang'ombe(Oil com) daah ni shiiidah.
 
Wake za watu wanagegedwa popote pale suala ni tabia ya huyo muhusika....suala hapa ni tabia na sio gym.
 
wanawake wana mbinu sana hata kama haendi gym, akitaka kwenda kuliwa atapanga mpango ataliwa na hutajua mzee, muhimu ni iman tu
 
Mi huwa nashinda gym sana, siku za kazi jioni na siku za mapumziko alfajiri!! Mi nimeona wanawake tofauti tofauti wanatafunwa but sijui kama ni wake za watu au lah!! Ninachofata mimi ni mazoezi na si kujua nani kaoa au kaolewa!!

Tatizo, mabinti wanatafuta mteremko!! Kulipa 3000/ kila siku kwa mwanachama na 5000/ kwa asiye mwanachama wanashindwa so ili waendelee kuhudhuria wanajipeleka kwa owners na waalimu!! Kwa huyu sidhani kama ni mke wa mtu anayepata support ya mumewe

Siyo asubuhi, asubuhi wanawake huwa katika gym niliyopo hawafiki but jioni! Jioni ndiyo huwa wanatumbuliwa saaana!! Ila kitu kingine nilichogundua ni kwamba unakuta lady anafanya sana mazoezi but mwanaume wake hafanyi mazoezi so binti anakuwa na stamina sana kuliko mwananume kunako sita kwa sita!! Kinachofuata ni kutokuridhishwa na hivyo kuanza kujitongozesha kwa watu wa gym!

Pia, kampani ya kuja na kurudi gym hahahaaaaaa!! Nimefurahi coz watu wanaanza kukimbia saa mbili toka gym kuelekea home madai yao zoezi then wanapita geto kwa mshikaji anakamuliwa fasta then analetwa home wee mwanaume mzima upo tu unaangalia tv ukijua ni kampani ya mazoezi tu!! Mnaliwa

Upo sawa kabisa mkuu vimeo vya sikuhizi bure kabisa
 
wanawake wana mbinu sana hata kama haendi gym, akitaka kwenda kuliwa atapanga mpango ataliwa na hutajua mzee, muhimu ni iman tu

ni kweli wanawake wako makini, ila wanaume tupo reckless sana, katika michepuko yetu
 
Yeahhhhh!!!!!


That is so romantic sweetie, yaani nimehorojekaje hapa.............. daah!!!! am coming love sasa hivi I cant wait hadi jioni, naomba ruhusa hapa ofcn nakuja, just stay tuned for the surprise. Mmmmmmuuuaaahhhh!!!
 
Last edited by a moderator:
Look at you!!!!!!!!
That is so romantic sweetie, yaani nimehorojekaje hapa.............. daah!!!! am coming love sasa hivi I cant wait hadi jioni, naomba ruhusa hapa ofcn nakuja, just stay tuned for the surprise. Mmmmmmuuuaaahhhh!!!
 
usichanganye hulka ya mtu mmoja mmoja kwa kuwajumuissha wanawake wooote... pole km shemej yetu kachepukia gym bro
 
aisee, babu Asprini wewe si mtaalamu wa hizi mambo....? tufungue jim yetu...!
 
Last edited by a moderator:
Akiali yako sawa na hao mabinti wa swahili

Mkuu usiongee, kugegedwa kwa mwanamke haijalishi amesoma au hajasoma, wapo wenye digrii zao wanagegedwa ovyo, umalaya ni asili ya mtu au twaweza kuiita hulk ya mtu.
 
Hapa mjini kila kitu na kila sehemu watu wanatumia kama fursa ya kugegedana, iwe saloon, iwe massage parlours... nk

Vijana wa mujini siku hizi wanagegeda wake zenu kwenye GYM, mke wako anaondoka asubuhi saa kumi na moja anachukua gari anasema anaenda gym kupunguza mwili kumbe anaenda kugegedwa.

Akifika mapemaaaaa, anagegedwa akimaliza anakuwa mwepesi, anachukua gari anarudi nyumbani.

Mda huo bado baba naniu umelala tu kitandani.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Signature yako inaonesha wewe ni viceversa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom