Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
- Thread starter
- #81
Tufanye hivi Paskali wewe ungefanyia nini Tanzania katika nafasi ya uwaziriMkuu Wakudada,
kiukweli kabisa, ingekuwa wale jamaa wanafanya I.Q test kwenye verting kabla ya teuzi mbalimbali za rais, wakiwemo mawaziri na manaibu, naamini kuna watu ambao sasa ni mawaziri na manaibu, wangeishia kuusikia tuu huo uwaziri na unaibu, maana kiukweli kabisa baadhi ya wengine wao, wana ma vyeti makubwa Ila in reality, upstairs ni weupe kabisa.
Kusema economic benefits ni sehemu ya profits, ni uthibitisho hata wewe inahitaji kusaidiwa upande wa lugha. It's the other way around, profits ndio sehemu ya economic benefits, not the other way around.
Pole.
Ili kulimaliza hili, natumaini ulimsikia Prof. akimzungumzia hilo, kama hukubahatika kumsikia, tembelea hapa
Je, wajua kuna uwezekano Barrick wanatuingiza mkenge?!. Hili la kugawana 50/50 ya faida ni kweli au ni changa la macho tu?. - JamiiForums
P.
Sent using Jamii Forums mobile app