Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Baada ya Profesa Palamaganda Kabudi kuongoza majadiliano dhidi ya Barrick kwa mafanikio sasa ni zamu ya Umoja wa Ulaya kupata tabu.
Naam mjadala kuhusu mkataba wa EPA sio diplomasia tu kama wengi wanavyofikiri badi ni mitego katika vipengele vya mkatana huo amnavyo usipong'amua vinakukaba.
Wengi wanadhani uanadiplomasia not kutabasamu na kuzidhisha nchi za nje hususani za magharibi la hasha Diplomasia ya sasa ni ujanja na maarifa ndio maana akia Pompeo wanafeli na kuamua kutumia vitisho dhidi ya Korea Kaskazini.
Diplomasia si kubembeleza bali ni kujadiliana na kupata kilichostahili yako hata kama mwenzio atachukia.
Ni matarajio yangu kwamba Prof.Kabudi na timu yake watatuletea ushindi katika hili na mengine mengi.
Mungu ibariki Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app