Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,564
- 46,110
Moldova taifa dogo lilo kati ya Ukraine na Romania limeungukia umoja wa ulaya(EU) likiitaka jumuiya hiyo kwa msisitizo mkubwa sana kuharakisha kupokelewa kwa maombi yao ya kujiunga katika umoja huo.
Taifa hilo linaamini kuingia katika Umoja wa Ulaya itakuwa ndio salama yake dhidi ya kitisho cha uvamizi na vurugu za uasi kutoka Urusi. Taifa la Urusi linaunga mkono uasi katika jimbo la Transnistria ambalo lilijitangaza kujitenga na Moldova lakini bado linatambuliwa na jumuiya ya kimataifa kama bado ni sehemu ya Moldova.