zinyalulu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 420
- 224
mimi nakubaliana na wewe,ila nashauri tuanze na katiba.kwa mtu yeyote mwenye mapenzi na taifa letu aiunge mkono rasimu ya katiba iliyotolewa na tume ya jaji warioba.inashangaza kundi fulani wanaipinga sana rasimu ya katiba ya warioba haohao wanakua wakwanza kuibua na kulalamikia matatizo walioanzisha wao.jiulize wakati hii mikataba inasainiwa chamachamapinduzi kama mdhamini wa serikali iliyosaini kilikua upande gani?je wakati wa kujadili rasimu ya warioba ccm ilikua upande gani?na leo hii tunapolalamika ccm ipo upande gani?umefika wakati sasa katiba ya ccm ibadilishwe kifungu kinacholazimisha rais wa nchi kua mwenyekiti wa chama.