Nasema Ukweli Mbele za Mungu, Magufuli mimi nilikuwa nampenda 10x kuliko Lowassa! Mimi mtu akikosea hata kama ni baba yangu, Hasa akionea mtu au watu Ndio Kabisaaaa sitaki hata !umsikia. Kwa hiyo Jibu ni Yes Lowassa angekuwa Rais Akawaonea CCM kama Maguguli anavyowaonea Chadema Ningemshambulia Tu. Na kama Lowassa angekuwa Rais na akafanya Jambo ambalo ni Hasara na Litailetea Tanzania Mateso siku za Usoni Ningempinga hivihivi. Kwani Mnafikiri Wanampinga Magfufuli walikuwa Wanamchukia. Wewe ni shaidi ni watanzania wachache sana walikuwa hawampendi Magufuli kama Magufuli. Mimi ilinichukua Muda kunawa mikono na imetoka. As Individual sina shida naye na Kwanza simjui hanijui. Ukitaka kujua mimi Sijali kumkosoa Mtu, Bishop Gwajima Kwangu ni Kama Brother, na hata Wakati anaanza Pale Ubungo tulikuwa tunakesha yeye na Vijana wengine Tukisali na Kulala Juu ya Mabenchi Niliwanunulia Maziwa na Mikate mimi! Na bado namheshimu na Kumpenda Mbona hapa hushangai Nampinga?