Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,571
2,000
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema ni kuwa Misguided Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni kwamba yuko Misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni kuwa yuko Misguided!

Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!

Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.

1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IMF!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.

CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?

We bwana umeandika we ila unaonekana ni mwanachama tu wa bavicha. Ukianza. Kumzungumzia chama katika Maendeleo ukisahau mbowe.zitto. Lisu nk nk wote walikuwa ni wanachama. Hai. Wa CCM. Hakuna mahali chama ndo kilileta Maendeleo. Its about political will. Nyerere alifanya Mengi sana kama foundation. Madini yote yalibaki. Tamaa ya Watu. Ndo imetufikisha hapa pengine hata mjomba wako kala sehemu ndo mana uko hapa na pumba zako. Je Rais asingeanza mngeongelea wapi. Kila hoja mnandia. Toa zako basi mpya kabla ya Rais hajaanza. Political will ndo tunahitaji. Wewe kwa maelezo yako unasifia mpka kenya. Unajua wewe wananchi wa kawaida wanavyoteseka. Unajua ukabila. Unajua uadui wa kanda .chukua uraia wa kenya mkuu. Kama hutaki shut up. Toa ushauri wa tija Tena anza na nyumbani kwako kwa maelezo yako ndo nyie mnathamini nyumba ndogo kuliko kwenu. Unadhani siasa ndo zitatukomboa. Uko tayari kuibiwa eti utafanana na Mugabe. By the way hakuna nchi iliyoendelezwa na nch nyingine. Wake up acha mbwembwe
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,999
2,000
Kabla hujaingia vitani fanya maandalizi. Ikiwa ni pamoja na kujua nguvu ya adui yako. Isiwe ni kuonekana na wewe umerusha risasi.
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,523
2,000
suluhisho ni bunge liombe mikataba yote ipitiwe upya. pia bunge likatae kupitisha mambo bungeni kwa mtindo wa dharura. wabunge wetu wamsaidie rais kwa kubadilisha sheria na sio vigelegele....
 
mzalendo.com

JF-Expert Member
Aug 2, 2015
420
500
Haya makampuni ya madini yaliisaidia sana ccm ktk fedha za kampeni uchaguz uliopita leo ccm wanataka kutuambia wameshasahau fadhila walizopewa miaka 2 miwil tu iliyopita?
Wanataka watanzania tunufaike na rasilimali zetu.
 
Mgango

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
2,344
2,000
Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi
Tunaongea mkono kwa lipi? Wenyewe wanadamu hawajatoa. Let them come forward and confess. Lakini pia mikataba ni mikataba suluhu ni kuwa renegotiate tu km alivyonegotiate prof sossy tunaangalia kulipwa 4% badala ya 3% za mwanzo and yet anatumia nje kama mbwa. Are we really serious?
 
Mdudu halisi

JF-Expert Member
May 7, 2014
2,735
2,000
CCM ndo wamesababisha haya yote. Walipitisha sheria mbovu bungeni na kusaini mikataba mibovu serikalini, halafu leo wanajiita WAZALENDO. Wamekosa mishipa ya aibu hawa wajinga.
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,550
2,000
kwa hiyo unatakaje tukae kimya?? mhhh!!
Suala LA kukaa kimya halitusaidii na halitamsaidia. Aitishe kikao hata cha mwezi mzima cha wanasheria nguli ikibidi hata wastaafu akae nao na kuisoma na kuichambua mikataba yote ya madini na nishati kutafuta kadosari ambako wakikang'ang'ania kitaweza kuifuta na kuiandika upya kwa maslahi ya wengi.
Vinginevyo, amsikilize Lissu tena kwani aweza kupata pa kuanzia. Hao kina Masaju ni pumba tu.
 
eerua

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
370
250
Ni sawa kusema lori limekwama kwenye tope halafu tunaemtegemea kulinasua ameamua kufungua kifaa kimoja kimoja, kashatoa tairi zote na milango kwenye tope sasa anafungua siti.
Ehee endelea embu kidogo.. Interested!
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
7,685
2,000
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema ni kuwa Misguided Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni kwamba yuko Misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni kuwa yuko Misguided!

Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!

Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.

1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IMF!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.

CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?

Kumtaja magufuli ni kumsingizia hapa.....aliyesaliti hii nchi ni Mkapa tena kwa kiasi kikubwa sana na kwa makusudi tu ili kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake huku akiwachagua baadhi ya wabunge (CCM) na mawaziri wake waunge mkono kauli yake. Mwingine ni Kikwete. Ikumbukwe, kila mara Kikwete alikuwa na desturi ya kutembelea migodi kuona biashara ya Mze wake inakwendaje. Kwa kweli katiba ya nchi yetu inabidi irekebishwe ili hawa marais wetu waliopita wakamatwe na kunyongwa kabla Mungu hajawachukua. LAZIMA hii ifanyike ili kuleta heshima nchini.
 
Augustino Fanuel Massongo

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
1,279
2,000
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema ni kuwa Misguided Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni kwamba yuko Misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni kuwa yuko Misguided!

Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!

Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.

1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IMF!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.

CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?
Uko sawa kabisa na hatuna ubishi juu ya hiyo mikataba mibovu iliyosainiwa na hawa viongozi wetu wasaliti, hoja ni ktk kiwango cha madini kinachobaki ktk mchanga unaosafirishwa kama makapi baada ya kuchekechwa dhahabu, kwa miaka mingi kumekuwa.na tuhuma toka kwa wadau mbalimbali kuwa mchanga huo unatumika kama mwanya wa kutoroshea dhahabu yenyewe na hata madini mengine jambo ambalo limethibitishwa na tume ya uchunguzi, sasa hatua ya Mh Magufuri kutekeleza mapendekezo ya tume ili Kuzuia wizi huo ina ubaya gani? na endapo huo mkataba unawaruhusu kuchukua hayo madini wanavyotaka wao sasa hao residence officers wanaoiwakilisha serikali kupitia TMA wanaowahonga usiku na mchana ili kuandika ripoti feki wa kazi gani huko migodini? Ni kweli kabisa ktk suala hili wawakilishi wote wa upande wa serikali zilizotangulia walikuwa corruptive isipokuwa Mh Magufuri anathubutu angalau kuwaonyesha wezi hawa wazoefu kuwa sasa rasilimali hii muhimu ina wenyewe. Umetoa mica no mizuri yenye kutahadharisha Taifa kupitia Hugo Chavez, Fidel Castro, Mugabe na hata Mwl Nyerere lakini kumbuka kuwa hawa wote ktk utekelezaji wa sera zao dhidi ya wawekezaji walikwenda mbali zaidi hata kufikia kiwango cha kuvunja mikataba, kutaifisha mali za wawekezaji na hata kuwafukuza, Mh Magufuri huko hajafika isipokuwa tunataka hivi sasa kuzuia exploitation hii ya ki wizi.
 
Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,418
2,000
Ha ha ha haaaaaaaaaa

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeeeeeeeeee
Usisahau Kiwanda cha Tanganyika Packers cha Kawe kilitaifishwa miaka ya 70. Hadi Leo tumeshindwa kufanya kazi iliyokuwa inafanywa ya kuzalisha nyama ya kopo na kuuza nje. As a result eti eneo la kiwanda limeuziwa NHC akope ajenge nyumba za bei mbaya!. Ni sahihi matumizi haya badala ya kuendeleza kazi ya Kiwanda?
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
7,685
2,000
Kujadili hili ni upuuzi Mkapa na Karamagi ndio chanzo cha matatizo yote na majibu wanayo wao pia huu upuuzi kama ungetokea China muda huu wangekuwa wameshanyonga mtu.

Naunga mkono hoja.....hawa ndiyo wahusika wakuu pamoja na Kikwete, na inabidi wakamatwe wanyongwe, tena haraka sana kabla hawajajiua wenyewe. Haiwezekani nchi inaingia madeni ya kijinga na umasikini huku familia ya mtu fulani ikinufaika.
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,464
2,000
Number 7, nitamtetea Ghadafi milele, hakuishindwa nchi yake hata siku moja, alikuwa na utawala mathubuti..,,ALIVYO SEMA KUWA WAARABU WAUZE MAFUTA YAO KWA VIPANDE VYA DHAHABU BADALA YA DOLLAR PESA, MAANA DHAHABU UPATIKANA AFRICA KWA WINGI, HIVYO AFRICA NAYO INGEFAIDIKA..., mawazo kama hayo ambayo mzungu hataki sikia, ndipo mahujuma yakaanza! DEMOKRASIA UCHWARA UKAANZA! Wapumbavu wakaja juu kumtoa Ghadafi madarakani, sasa wapumbavu hao waliokuwa wanadai demokrasia wameishia kufia baharini na wengine watumwa wa hao hao wazungu! LIBYA NI MAHALI PA KUPATA FUNDISHO KWA AFRICA NZIMA! EHH MAULANA MOLA WETU ILINDE NCHI YETU TANZANIA NA NAKUOMBA MAADUI WOTE WA NCHI YETU YA TANZANIA WAFE WAO NA VIZAZI VYAO VYOTE, MAANA WEWE MWENYE ENZI MUNGU NDIYO UNAIJUA MIYOYO YA BINADAMU ULIYO WAUMBA ASANTE MOLA WETU KWA KUTUJALIA WATANZANIA BUSARA NA HEKIMA MILELE YOTE KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAICH, AMUN RA
MWENYE ENZI MUNGU ASIPO ILINDA NCHI, WALINDAO WAKESHA BURE!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom