TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye madini na mafuta hatujaibiwa, ila hatukuibiwa kwa kulazimishwa! Tuliibiwa kwa usaliti wa viongozi wetu kuanzia marais na mawaziri, wanasheria na wabunge wa CCM, akiwepo huyu Rais Magufuli, kwa uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na nasema ni kuwa misguided kwa kuwa yeyote anayeshabikia approach ya Rais Magufuli, kwenye hili swala la madini anayeshabikia ni kwamba yuko misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni rafiki au ni adui kwangu nitasema kwa masikitiko sina jina lingine la kumpa ni kuwa yuko misguided.
Kuna msemo usemao asiyejifunza kwa historia mbaya, itamrudia. Ni kweli madini ni yetu, mafuta ni yetu lakini tumeingia mikataba ya kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini kusimania nchi yetu.
Sasa kuna aliyesema ati hatuwezi kuacha madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya kakaratasi. That is none sense, mkataba ni zaidi ya makaratasi na zina wadau wengi, kuna mikopo ya mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za kampuni na assets za kampuni ni pamoja na zabuni na contracts. Kukiwa na dosari au malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara kubwa ni negotiations sio kutishana wala uhuni.
1)Kuna mifano mingi ya kujifunza, uchumi wa kenya leo ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu mwalimu Nyerere alitaifisha mali za wageni.
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa mwalimu Nyerere aligoma kulipa madeni na pia aliingia mgogoro na world bank na IMF.
3)Venezuela leo kuna shida kubwa ya uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha visima vya mafuta.
Vya wazungu kwa vile tu aliamini mafuta ni ya Venezuela. Sasa venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua ardhi which was ok, lakini kwa zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala maelewano.
5) Iraq Saddam leo ni hayati lakini kisa hasa ni mafuta alitaifisha visima vya wazungu na miaka yote ugomvi wote waliyataka.
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa kuwa sera yake ilikuwa ni kutaifisha mali Biafra.
7) Gaddafi vivyo hivyo.
8) Salvador ayende wa chile walimreplace kwa kumuua na kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea ubepari.
CCM ilifanya usaliti sana kuiuza nchi kwenye kikapu kwa hili swala la madini. Ila Rais Magufuli wa CCM anayetaka sifa za kisiasa anafanya kosa kubwa zaidi kwa kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni hekima?