Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

Tujifunze jinsi ya kucheua mambo, hii tabia ya kuwa tukilishwa mambo basi hapo hapo tunacheua mwisho wake tutajikuta matumbo yanauma kwani hicho chakula kitakuwa hakijalainika sawa kwa ajili ya matumizi mwilini, ingefaa kama tukilishwa basi turudi zizini na sasa ndo tucheue na kutafuna taratibu.
 
Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi

Ma ccm wakiri hilo na kuliomba taifa msamaha, tutawaelewa! Hatujasahau zile kelele za Ndiyoooo na kebehi na wapinzani kufukuzwa bungeni!
 
Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi

Serikali makini haiwezi kumpa uongozi wa aina yoyote juu ya raia mtu mwenye Narcissistic Personality Disorder kama Gamble!. Ukona watu wasio tu wakisifiwa na kupandishwa madaraja, hapa kuna tatizo. Na hii ni dhahiri serikla imeamua kuwakomoa wananchi!.

Tukomboe michanga ili kina gumble waongeze nguvu za kudhalilisha na kuonea watu?

Serikali inapendwa na inaweza kupata uungwaji mkono wa dhati kama itaonyesha dhamira ya kweli ya kuacha kuwatumia watu kwa maslahi ya ccm na badala yake iwatumikie..

Kiburi cha ccm cha kudharau uwepo wa muhimili wa bunge, ndio umetufukisha hapa.

Kabla ya kuwachukia wanachi wanaotoa mawazo yao ya kukatishwa tamaa, seriklai ikiri kwamba imewakosea Watanzania kwa kutokuwatumikia, na badala yake imewatumia tena vibaya. Serikali ijitenge na chama cha mapinduzi ili mihimili mingine ifanye kazi zake kwa uthabiti na nia moja ya kujeng anchi badala ya kutetea chama.
 
wewe sasa ndio unatupotosha!
Raisi anakosea unataka tumuunge mkono, kwani kuna ubaya gani kufuata utaratibu!
anasema tumeibiwa kwa kiasi hicho, jamaa wa ACACIA wameomba uchunguzi ufanyike tena and we know kuwa taarifa zetu ni sahihi kwanini asisubiri? lakini pia jambo hili lina madhara kwa taifa, kama raisi anataka kuungwa mkono na wananchi haiwezi ikawa hapa JF aende kuwauliza wawakilishi wetu, so apeleke jambo hili bungeni, wale jamaa wakimuunga mkono then ana Baraka zetu, hata wakiwa ccm watupu lkn ndio utakuwa uwakilishi wenyewe huo!
akikaa nalo chumbani tu na kututegemea kumuunga mkono huo ni usaliti and we will never support him.
By the way wanaopinga jambo hili sio UKAWA tu, hata sisi "watanzania huru" tunalikataa kwa nguvu zote....
Mnapinga jambo gani? upumbavu uliokithili umewajaa, tume haijamaliza kazi yake na wala haijawasilisha chochote kwa Rais ajabu kila uchao mijitu inabwabwaja utumbo tu humu, hivi nikikuuliza Magufuli kufanya nini au kachukua uamuzi gani kuhusu hili saga usouunga mkono utanijibu nini?
 
Uelewa we Gwajima umenistua.hajui hiyo into anayo ongealea kwa kuitaja hata nyanya yake aliongea hivyo n.a. wakati huo tulikuwa watanzania wangapi?
Anajua sababu ya kukauka mito mingine n.a. mingine kuwa seasonal.Umasikini ndiyo sababu
Mito imelemewa miti imelemewa nenda geita dhahabu imeelemewa hata uvuvi imelemewa ardhi imeelemewa hatuko umbali n.a. maafa swala ni how to make them sustanable ni lazima tuwekeze kwenye man-made activities kama viwandaa nk.na extrction ya natural resource lazima tuziwe kee miundombinu ili iwe sustainable.wamisri wana miundombinu ya umagiliaji ya mto nile ndiyo maana toka tunakua tuna sikia watumia umwagiliaji huo saserikali yao imewekeza.hawa unaosema wamerogwa bora warogwe hivyohivyo ukiwaagua wakefanye umwagiliaji kwenye hiyo miaka mitano mingi utasikia ukunga maji yamekauka mamba n.a. viboko wanakufa.
 
kwa hiyo unatakaje tukae kimya?? mhhh!!
Hapana. Usikae kimya. Mshauri Magufuli atumie akili zaidi na majadiliano na wazungu wawekezaji. Wazungu walishatuweka mtegoni. Hatuhitaji nguvu nyingi na kisirani kujinasua.Ni busara na mijadala. Tukilazimisha mambo yapinduke wakati kuna mikataba tunaigeuka tutaumia sisi.
Hakuna anayependa kunyonywa na kuibiwa. Ni mbinu ya kumkabili mwizi wako ndiyo si sahihi. Ukimkamata mwizi wako usijichukulie sheria mikononi kwani sheria hiyohiyo itakurudi.
 
Tukiendelea kulumbana.
Hatutafika popote.
Kama mnavyojua viongozi wao hawana hasara.
Wakiamua wanaweza wakakaa kimya.alafu wakawaacha waendelee kuiba.maumivu tutayapata sisi.
Sasa inapotokea rais amejitoa kwa ajili ya hili ebu tumuunge mkono,
Kwani magufuli asipo angaika na ili 2020 hatopata tiketi ya kugombea urais?
 
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Upumbavu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema Kwa Upumbavu sana Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni Mpumbavu kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni Mpumbavu!

Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kulunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!

Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.

1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IFM!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.

CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?
Marandu tapeli kama Gwajima achana nazo! Usijibizane na mtu kama hizo. matapeli wa roho za masikini. Watu waliokosa matumaini ya kuzaa, mahanisi and the like anawadanganya kuwa atamaliza shida zao kwa kuwatapeli. achana kumjibu tapeli wa dini!
 
_20170529_162902.JPG
 
Siasa Kwanza nchi baadaye ndo matunda yk yanaoneka ss wacha wajanja wale nchi ht mukistuka madini gesi misitu wanyama pori na ht mlima k'njaro wote umeuzwa kwa wakenya, poleni sana
 
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli, kwa Upumbavu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na Nasema Kwa Upumbavu sana Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli, kwenye hili swala la Madini anayeshabikia ni Mpumbavu kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni Mpumbavu!

Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kulunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!

Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.

1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IMF!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.

CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?

HUWA NINA CHOSHWA KUONA AKILI INATAWALIWA NA HISTORIA

HIVI AKILI HIO HUWEZI KUITUMIA IKAWA HISTORIA??

Uvivu wa Kufikiri
Asante kwa kutuchosha na kusoma mawazo ya Hostoria
 
Hakuna asiyejua kuwa tulikosea zamani, lakini hiyo siyo sababu ya kutokurekebisha tulipokosea!.

Halafu hii tabia ya kuogopaogopa Westerners uache, maana hizo nchi zote ambazo Mabepari walizishambulia, walitumia wachumia tumbo, wasaliti wa ndani ambao fikra zao zimekuwa westernized, au wale waliokuwa brainwashed na slogan za Democracy, na wengine wakiwa ni opportunists wanaonyemelea serikali ziangushwe wao ndo wakamate dola!

Hebu Muunge mkono JPM kwanza ili kutuma meseji kwa hao wawekezaji kuwa tuko kitu kimoja kama nchi, halafu ukweli mchungu tutaelezana ndani kwa ndani kwenye vikao.
 
Marekebisho

2) ni IMF sio IFM

5) Chanzo cha Matatizo ya Iraq na Saadam kwa Ujumla yalianzia 1990 kwa kuivamia Quwait sio hayo uliyoeleza

Asante kwa Rekebisho IMF(International Monetary Fund) sio IFM( Institute of Financial Management) Kwa hili la Iraq, baada ya Sadam kutoa Taarifa ya Kurasa elfu 11 kuonyesha Hana Nyukilia au WMD Wamarekani walishinikiza Aruhusu Upekuzi Usiokuwa na Mipaka, Kinyume na Matarajio yao Afdskakubali, walitaka akatae wapate Kisingizio! Alivyokubali wakamhonga Wakaguzi wakuu Blix na Mohamed Baradei. Akatoa Ripoti kuwa Ukaguzi hauna Uhakika. In short walichokifuata Iraq ni Visima ambavyo hapo mwazk vilikuwa vyao! Walijua Sadam baada ya kuwa na beef naye Akiwa Clean na Kuondolewa Vikwazo Patna wake Mkubwa wa Kibiashara angekuwa Ufaransa! Mnakumbuka Ugomvi mkubwa Uliozuka kati ya Ufaransa na US 2003? Hapa US mpaka Frech Fries walizibadilisha Jina na kuviita Freedom Fries ( hizi ni chips kuku) Na mara tu baada ya serikali ya Iraq Kuanguka wakamweka Mtawala wa Muda aliyeitwa Brama na Jukumu lake la Kwanza lilikuwa Kubinafsisha Visima vya Mafuta yaani Walivitchukua kwa. Kujifanya ni Kujiuzia (Chevron na Texaco)

Sasa Mnaweza Kuona Kama Visima vya Mafuta Iraq Tangu Mwanzo. vingekuwa chini ya Makampuni Binafsi, Na serikali ikachukua Kodi na Royalty Kusingekuwepo hata hiyo Vita.

Dunia kuna Inavyoonekana Kijuujuu na Kuna Shadowy Forces ambazo they are very powerful they Put Politicians in Power and mainly for the benefit of their Corporations, If you dare stand in their way or ,humiliate them! May God have mercy on your soul these individuals smile! But they do not forgive nor forget!
 
Hakuna asiyejua kuwa tulikosea zamani, lakini hiyo siyo sababu ya kutokurekebisha tulipokosea!.

Halafu hii tabia ya kuogopaogopa Westerners uache, maana hizo nchi zote ambazo Mabepari walizishambulia, walitumia wachumia tumbo, wasaliti wa ndani ambao fikra zao zimekuwa westernized, au wale waliokuwa brainwashed na slogan za Democracy, na wengine wakiwa ni opportunists wanaonyemelea serikali ziangushwe wao ndo wakamate dola!

Hebu Muunge mkono JPM kwanza ili kutuma meseji kwa hao wawekezaji kuwa tuko kitu kimoja kama nchi, halafu ukweli mchungu tutaelezana ndani kwa ndani kwenye vikao.

Hatusemi asingefanya kitu tunasema alikurupuka na kujifungia Milango ya hatua ambazo zingekuwa salama na sahihi. Nachojiuliza alitkuwa na Lengo moja pekee au pia alitaka sifa! Maana ndio hulka yake! Basi hata kama lengo lilikuwa Zuri kalikoroga big time kwa kufactor in element hiyo ya kutaka sifa!
 
Mkuu TL unapoandika, what matters most sio the motive behind ya ulikusudia nini bali the perceived meaning ya maana atakayoipata mtu anayesoma andiko lako. Japo humu jf tuna members wengi wenye uwezo wa to read in between the lines hivyo hao ndio wataoweza kubaini ulimaanisha nini ndani ya mawazo yako, lakini members wengi zaidi ni watu wa kawaida tuu wasio na uwezo huo.

Nakuunga mkono hutakiwi kumuogopa binadamu au kiumbe chochote ila kama mwana jf una wajibu wa kuheshimu watu, wakiwemo viongozi wetu.

P.
Nimenyoosha Asante! I am a little Weak in that area!
 
Dhambi ya Rais iko wapi katika kujisahisha.. Mbona kichwani tumejaza upumbavu(maana ya upumbavu inajulikana)

Kipindi cha kampeni mlisema JPM hawezi kuibadili Nchi, tatizo mfumo, yote kaweza, mlisema atazuiwa na CCM, mlivyokosa haya.. Kaibadili CCM sasa (CCM mpya, Tanzania mpya)
 
Kosa ni Kuwafanyia Wamarekani na Wakanada Uhuni kama Anavyowafanyia Chadema na CUF, kwa vile tu tunapunjwa Huwezi kujifanya Unakiuka Mikataba na Sheria Kichwa Kichwa. In short Ningekuwa namnilia Mabaya, If I really wanted him to fail akifanya Makosa kama haya ningempa high Five. Kwa Kuwa naju mwisho wake sio mzuri.
 
Yaani ukizaliwa ukawa na akili kama yako LEMUTUZ ni hasara sana, sasa unachekelea nini?/akili yako muda wote kuwaza tumbo tuu. Unashida sana wee

Ha ha ha haaaaaaaaaaa

Acha niwacheke tu, nyie mlio....

Eeeeeh na mtazidi kuisoma namba na kusaga meno msipotaka kunyooka. Mlishushukaaaaaaaa eeeeh, hii ni awamu ya tano... hivi na sadaka mlitoa au!!!? eeeh
 
Back
Top Bottom