Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

wewe kwa maoni yako haya kama hujatumwa ni wakuonewa huruma. huna self esteem unafikiri marndeleo yataletwa na wageni au mabwanyenye.
Na waliowapa Mikataba akiwepo Magufuli walidhani nini?
 
wewe kwa maoni yako haya kama hujatumwa ni wakuonewa huruma. huna self esteem unafikiri marndeleo yataletwa na wageni au mabwanyenye.
Nionee tu huruma kwani sijatumwa ila. Nina hofu genuine ya yanayoweza kuathiri Nchi. I hope am wrong! I really do!
 
Mbona sioni hilo la Gwajima kama kichwa cha habari kinavyotaja?
 
Hivi upinzani wameshaomba audience na mkuu ili watoe maoni yao? Isije ikiwa ni brake ili gari lisuende, akikataa waendelee kutoka dondoo kwa mabepari through kulalamika
 
Hujui unachokisema, subiri ununue mkate kwa Tsh. 50,000 ndio utajua! I hope it will not come to that!
Buhaaaaaahaaaaa

Kisa safari hii Gwajima kawa kinyume na Ukawa buhaaaa

VIP maoni ya Mange yanasemaje?buhaàaa

Kadri siku zinavyokwenda tutajua wapinzan maslahi,wapinzan upepo,wapinzani tapeli, na hawa ndio watakaowaponza wapinzan wazalendo,

Uzuri tuna record ya ndimi zao zinavyogeuka geuka.

Kuwa upinzani miaka 30 si ishu ishu ni ZA MWIZI SIKU???

Kwa hili namuunga Gwajima haijalish amepingana na mwanasheria nimpendaye Lissu.
 
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye madini na mafuta hatujaibiwa, ila hatukuibiwa kwa kulazimishwa! Tuliibiwa kwa usaliti wa viongozi wetu kuanzia marais na mawaziri, wanasheria na wabunge wa CCM, akiwepo huyu Rais Magufuli, kwa uzembe na usaliti wa ajabu sana walipitisha mikataba ile kwa mbembwe na kebehi kubwa kwa waliowapinga! Na nasema ni kuwa misguided kwa kuwa yeyote anayeshabikia approach ya Rais Magufuli, kwenye hili swala la madini anayeshabikia ni kwamba yuko misguided kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni rafiki au ni adui kwangu nitasema kwa masikitiko sina jina lingine la kumpa ni kuwa yuko misguided.

Kuna msemo usemao asiyejifunza kwa historia mbaya, itamrudia. Ni kweli madini ni yetu, mafuta ni yetu lakini tumeingia mikataba ya kupunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini kusimania nchi yetu.

Sasa kuna aliyesema ati hatuwezi kuacha madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya kakaratasi. That is none sense, mkataba ni zaidi ya makaratasi na zina wadau wengi, kuna mikopo ya mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za kampuni na assets za kampuni ni pamoja na zabuni na contracts. Kukiwa na dosari au malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara kubwa ni negotiations sio kutishana wala uhuni.

1)Kuna mifano mingi ya kujifunza, uchumi wa kenya leo ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu mwalimu Nyerere alitaifisha mali za wageni.
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa mwalimu Nyerere aligoma kulipa madeni na pia aliingia mgogoro na world bank na IMF.
3)Venezuela leo kuna shida kubwa ya uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha visima vya mafuta.
Vya wazungu kwa vile tu aliamini mafuta ni ya Venezuela. Sasa venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua ardhi which was ok, lakini kwa zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala maelewano.
5) Iraq Saddam leo ni hayati lakini kisa hasa ni mafuta alitaifisha visima vya wazungu na miaka yote ugomvi wote waliyataka.
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa kuwa sera yake ilikuwa ni kutaifisha mali Biafra.
7) Gaddafi vivyo hivyo.
8) Salvador ayende wa chile walimreplace kwa kumuua na kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea ubepari.

CCM ilifanya usaliti sana kuiuza nchi kwenye kikapu kwa hili swala la madini. Ila Rais Magufuli wa CCM anayetaka sifa za kisiasa anafanya kosa kubwa zaidi kwa kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni hekima?
Mtoa mada elewa vizuri kuwa Rais Magufuli hajataifisha mali ya kampuni yeyote ila anataka kuona Tanzania kama taifa inanufaika vipi na Madini, kwa mtu yeyote haingii akilini leo kuna mwekezaji anachukua Mchanga wa wenye madini na kutoa nje ya nchi kwasababu aliweka mikataba mibovu na viongozi waliotangulia, hivi leo kiongozi akiamua kutaka kujua uhalisia wa madini yetu yanavyoondoka bila utaratibu ni kosa, Rais Magufuli hajatoa tamko la Kwamba anachukia ubepari ila anachotaka ni hawa mabepari walipe kodi. Mbona taifa kama Bostwana inanufaika na uzalishaji wa almasi. Rais Magufuli anafaaa kusifiwa kwani yeye kama kiongozi wa CCM hakubaliani na madudu ya viongozi waliomtangulia kwani kwa miaka mingi CCM imekuwa chama cha kulindana, Watanzania hawakutegemea anaweza kutokea kiongozi ndani ya CCM akaweza kuibua masuala ya madini. Unapozungumzia Cuba na Chile hayo yalikuwa ni mapambano ya kitikadi Capitalism/Ukominist kwahiyo haiwezi kufananishwa na matatizo yetu ya madini, kuhusu Venezuela ilikuwa ni kosa la Hugo Chaves kutaifisha yale makampuni ya mafuta.
Ni kitu cha aibu kubwa kwa wanasheria wetu Mheshimiwa Chenge/Werema waliokuwa wakihusika na mikataba iliyoitia nchi hii hasara wanatoa tamko la kumkatisha Rais Magufuli tamaa.
Ukiaangalia sehemu kubwa ya sehemu migodi hii iliyopo wananchi wanaishi kwa umasikini mkubwa, mfano Nyamogo kabla ya hawa wawekezaji kujaa kipato cha mwananchi wa kawaida kilikuwa kikubwa kwasababu ya uchimbaji mdogo ulikuwepo. Ukiangalia historia ya makampuni haya ya migodi kila baada ya miaka michache kampuni inauzwa kwa kampuni nyingine ina maana siku za mwizi ni 40 Acacia ndio amekamatwa na mchezo huu mchafu.
Na uhakika hawa wawekezaji kwa kulinda maslahi yao watafanya mazungumzo na serikali na taifa tutaanza kuona matunda ya madini yetu.
 
Naelewa hajataifisha. Ila ameshikilia mali au amesimamisha biashara kinyume na mkataba. Two wrongs does not make it right. Magufuli hajali sheria. Mtu anayetuma Lipumba Kutumia Walinzi wake kwenda kupiga CUF na Waandishi, halafu wanashitakiwa waliopigwa. Halafu siku zote unaona Amekaa yaye! Anadhani Kila mtu anaweza Kumfanyia Uhuni kama CUF, anadhani kila Mtu ni Wa kumfanyia Uhuni kama Kupiga Marufuku Mikutano ya siasa. He always act unlawfully! Watakamuunga Mkono wamuunge mkono! Mimi nilishanawa Magufuli is evil, Siwezi Muunga Mwonevu mkono hata kama alinizaa. Siwezi Muunga Magufuli Mkono kwa lolote in a million years. To me he is evil. Bora waliouza Dhahabu kwa Tamma kuliko aliyenyang'anya Uhuru na Haki. Bora Waliouza Dhahabu Kwa Tamaa kuliko wanaofunga watu kwa kuota ndoto, Bora Walioiba Dhahabu tamaa kuliko Anayepora Rambirambi, na kufunga Wanaotoa pole ikiwepo Waandishi. Bora Walioiba dhahabu kwa Tamaa kuliko Wanafunga Watoto kwa kuwasema. Bora waliouza Dhahabu kwa Tamaa kuliko anayefukuza maelfu Kazi kwa Vyeti huku anambeba Mbeleko Jambazi Bashite.

Magufuli hana Kingine anachotafuta ni Sifa. The Hell if He cares About Our Gold he Shoud care About Our Freedom, which is more important and nobody should sue him for preserving it.
I can simply, If I ware God! and its not wise for one to wish so!, If I were God I will easly Forgive Mkapa and Kikwete! They made wrong decisions to sale something we never knew we had. But as for this other Fellow, he took away what we fought for with our tears, ours blood and our Lives! he took away our FREEEDOM and JUSTICE and for tha HE IS EVIL
 
Mkuu hakuna binadamu aliyekamilika ila inapokuja National Interest lazima tuwe kitu kimoja na kiongozi huyu tusimvunje moyo, Tanzania ilikuwa imefika pabaya kwenye suala la utawala bora/corruption, kiongozi huyu sio kwamba anapendelea CCM mpaka wafadhili wakubwa kama kina Manji wameonyeshwa njia ya rule of law. Tusiangalie upande mmoja wa shilingi lazima na mazuri ya huyu kiongozi uyaone.
 
Sijakuzuia wewe kumtia Moyo Dear, Ila mimi sina anything to do na Mtu Mwonezi
 
Suluhisho la tatizo hili la kirasilimali duniani n kuepukana na DEMOKRASIA kwani hii n mkono wa CAPITALISM bingwa nyonyaji wa ulimwengu wengi waliopiga hatua waliikataa hii demokrasia Jaman fuatilieni kitu kinaitwa KHILAFAH huu ndo mfumo bora kutawala na ndio unakuja kuyawala na watu kupata amani ya kweli
 
Kumtaja magufuli ni kumsingizia hapa.....aliyesaliti hii nchi ni Mkapa tena kwa kiasi kikubwa sana na kwa makusudi tu ili kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake huku akiwachagua baadhi ya wabunge (CCM) na mawaziri wake waunge mkono kauli yake. Mwingine ni Kikwete. Ikumbukwe, kila mara Kikwete alikuwa na desturi ya kutembelea migodi kuona biashara ya Mze wake inakwendaje. Kwa kweli katiba ya nchi yetu inabidi irekebishwe ili hawa marais wetu waliopita wakamatwe na kunyongwa kabla Mungu hajawachukua. LAZIMA hii ifanyike ili kuleta heshima nchini.
Nani wa kuipitisha katiba mpya?! Ccm?!
 
Suluhisho la tatizo hili la kirasilimali duniani n kuepukana na DEMOKRASIA kwani hii n mkono wa CAPITALISM bingwa nyonyaji wa ulimwengu wengi waliopiga hatua waliikataa hii demokrasia Jaman fuatilieni kitu kinaitwa KHILAFAH huu ndo mfumo bora kutawala na ndio unakuja kuyawala na watu kupata amani ya kweli
Wewe usituletee mambo ya dini hapa. Kama unataka khilafa hamia huko Saudia au Afghanistan
 
Watu wasioitaikia amani nchi yetu wana njia nyingi za kutumia, wakiona plan A imeshindwa wanakuja na plan B

ambayo ndio hii ya kutaifisha mali za watu wanazomiliki kihalali
 
Baba yako akiuza nyumba, huna uwezo wa kumfukuza mwenye nyumba kwa sababu nyumba ilikua ya Baba
 
Back
Top Bottom