Gwajima, Polepole na Silaa waitwa Kamati ya Maadili ya CCM

Yaliyosemwa na Jerry, Polepole na Gwajima yote ni ya kweli.

Mpiga kampeni namba moja wa chanjo mwenyewe nadhani hayuko serious na Covid-19.

Angalia hapa alikuwa Kawe jana.

Screenshot_20210903-000148.png
 
Najua Chadema mimacho kodo mnasubiri watimuliwe waje kwenu.

Mtasubiri sana!
Mbatizaji kumbe una macho ya mbali! Hongera. Hao sio wajinga kwenda Chadema walikuwa huko zamani kwa hiyo waijua Chadema vyema labda Jerry Slaa.

Aliye ondoka Chadema hawezi kurudi kwa uongozi uliopo leo. Watakao baki au kujiunga Chadema ni wale wageni wa vyama na uongozi wa vyama.

Alicho fanya Gwajima au Pole pole kama wangekuwa Chadema wange fukuzwa na wasinge sikilizwa.

Gwajima ndiye mnunuzi wa magari 12 ya M4C na alimpa 2 million dollars Mwenyekiti, alipoanza kuulizia matumizi yake alifukuzwa na kuundiwa zengwe kuwa ni mbabaishaji. Ikapokelewa vyema na Nyumbu bila kujua tatizo ni nini na mpaka leo hii watu wapya Chadema wanamchukia Gwajima bila kujua chanzo ni nini. Na mkurugenzi wa fedha ikaonekana amempa data Gwajima iliyomfanya aulize ulize na akatengenezewa zengwe Anthony Komu akajiondoa mwenyewe na akawekwa kilaza Lutembeka ili uwanja ubaaki wazi kwa kupiga.

Huwezi kuendesha chama kima genge na kihuni kwa muda mrefu na chama kikabaki salama.

on YouTube



 
Hivi hii nchi kwa nini watu wakipata mamlaka wanapenda kusujudiwa, yaani watu wabanwe pumzi wasiongee chochote tubaki kusikiliza tu matamko ya ndugu mwenyekiti......Nyerere pamoja na kuongoza kipindi ambacho kulikuwa na mfumo wa chama kimoja kilichoshika hatamu alipenda sana kusikiliza hoja kinzani na alikuwa anazitolea ufafanuzi bila kutisha au kuita watu kwenye kamati za vyama. He was very tolerant hata watu kama marehemu Mtikila waliweza ku survive na hoja tata za dola la Tanganyika jambo ambalo kwa mwenendo wa sasa wangeweza kumwita gaidi au muhaini...
 
Gwaji boy jana alikuwa kwenye msafara ulomsindikiza mheshimiwa raisi kwenda bagamoyo kuandaa kipindi cha kuitangaza Tanzania kiutalii

naham ya kona part aloshiriki aliongea nini
 
Wabunge wanalipa kodi kiduchu inayokatwa kwenye mishahara, maposho kibao hayakatwi kodi! Wanatufanya sisi mazezeta!
 
U
Wakati mnalazimisha kumpa kura za hewa ili awe mbunge hamkujua kuwa anazo elements za kichadema za kumpinga hata Rais ?!. Na jana mama amejibiwa huko Tageta kuwa hawachanji
UONGO!!!! aWatu wote pale Tegeta walijibu WATACHANJA! Acheni uongo wa mchana mchana kila mtu alisikia majibu ya wana Tegeta - kuwa watachanja. Sasa nyie akina TOBO mnataka kuyabadilisha humu JF. Acheni uongo!
 
Back
Top Bottom