Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Nafkiri hawa jamaa wanampa Gwajima umaarufu mimi kabla nilikuwa simjuw mtu anaitwa gwajima
 
Anasema vita hii aliyochokozwa na hatimaye kuanzisha operation aliyoiita Operation81..….. Yenye kauli mbiu ya Final Battle for total discipiline, itaisha huku ikiwaacha baadhi ya watu wakiwa katika hali isiyo ya kawaida

Chanzo ibada ya Leo kanisani kwake
 
Hii ni ibada au mkutano wa kisiasa? Madhabahu yameshageuka majukwaa ya siasa.
 
Uncle habari yako...Watu wametega sikio na kuangaza macho kumuona/kumsikia mgeni kutoka Kolomije ambaye anasadikika ni mwalimu Wa ndugu Daudi Bashite
Salama kaka mambo vipi asante ndugu yangu nilikuwa nje kidogo ya mijadala ya humu kwa muda ndio najaribu kupitia pitia kumbe Gwajima alisema Leo anawapandisha watu kutoka huko kwa Makonda

Haya mkuu ngoja tuone mwisho wa hizi sinema zao
 
Trend inaonyesha hilo hana neno tenaaaa huyu bwana ....washamnyima hewaaaa
 
Gwajima sio mtumishi wa Mungu ni mtumishi wa shetani, mafisadi na wauza unga. Wajinga tu ndio mtaji wake.
 
Yule shuhuda kutoka kolomije kahudhuria ibada? Tunataka kupata ushuhuda kamili
 
Walimueka kiti moto jana

Chezea dola wewe, yanaweza yakamkuta ya mtu mmoja alikua anaitwa, Mazegenuka! Korodani zinafungwa kamba halafu hiyo kamba inafungwa kwenye mguu mmoja wa dining table, halafu unaambiwa uivute hiyo meza kutoka point A kwenda point B! Waterboarding ya kizamani hiyo![emoji3]
 
Salama kaka mambo vipi asante ndugu yangu nilikuwa nje kidogo ya mijadala ya humu kwa muda ndio najaribu kupitia pitia kumbe Gwajima alisema Leo anawapandisha watu kutoka huko kwa Makonda

Haya mkuu ngoja tuone mwisho wa hizi sinema zao
Karibu kaka..Yeah ndo leo...Naona huu mjadala umechukua sehemu kubwa ya mijadala humu ndani..Kila kona ni Bashite tu..
 
Kanisani hakuna mkutano wa hadhara ni mahubiri kwanza mikutano ya hadhara imezuiwa ni CCM pekee kupitia viongozi wake ndio wanaruhusiwa
Tangu Magufuli aingie madarakani kumezuka tabia ya kusali na kutoa neno. Na mara nyingi watu tumekuwa tukikemea tabia ya wanasiasa kutumia madhabahu kuzungumzia siasa.
Hili jambo ndilo linalosababisha hawa viongozi wa kidini nao kuona kumbe madhabahuni siasa inaongeleka. Nakumbuka wakati ule pale Mwembe Chai palivyosawajishwa kwa kisingizio cha kuchanganya dini na siasa. Tusishangae, kwa kuwa viongozi wanaliendekeza na kulipenda, sasa acha liwaadhibu.
Wamelikoroga lazima walinywe!
Ingawa wengine hatupendelei madhabahu kutumiwa na wanasiasa kwa kuwa ndani ya nyumba za ibada kuna mgawanyiko mkubwa wa itikadi za kisiasa. Hivi mbona tunakemea sana udini kwenye vyama vya siasa kwa nini hili linaendekezwa na viongozi wa kisiasa? Leo Makonda (Bashite), ambaye ni mwanasiasa kapewa kipaza sauti kanisani mara kaenda kwa masheikh, kwa kweli inakera. Kama Kambarage na Kawawa wangalitumia majukwaa ya kidini wangalikosa mashiko ya kukemea udini.
 
Back
Top Bottom