Gwajima: Makonda ni zero brain, amuomba Magufuli kumpangia kazi nyingine

Dude limeamshwaaaa
 
Mi binafsi nshamuchoka atafute kingine cha kumuongezea umaarufu sifa zikizidi anatakiwa kupuuzwa ile sio sehemu ya kutukania watu kuhusu vyeti alishatuchosha navyo umbea nao unachosha kusikiliza
 
Hiyo ndo hulka ya wasukuma washamba wanapenda sifa mungu anisamehe utadhan kusoma kaanza yeye.....

mungu alimjua ndomana akumpa urefu maana n mwehu

kanisa litageuka vipi kitengo cha shilawadu na taarab?

daaaaahhhhh poleni sanaaaaaaaaaaaaaa watu wake mazombie gwajima n gugumaji .......

kufa hata yeye atakufa
 
Kondoo wa Gwajima jitatafakalini,badala ya kuubilia Bwana Mungu wetu mnaubiliwa Bashite iwasaidie nini na nyie mnamshangilia mchunga kondoo! Tanzania ni nchi ya ajabu sana tunashughulishwa na vitu visivyokuwa na faida tunaacha vyenye tija
 
Gwajima anahangaika bure tu na mambo yasiyomuhusu. Anamuhubiri Makonda badala ya Mungu, alafu na waumini wake wanaitikia ameeee...eennn!! Ajabu sana
Lakini si kweli makonda sjui bashite ni zero brain?
Na pia bashite na yeye anapoteza muda kuhangaika huku na huko kuomba vipindi ili kumchafua ama kumkomesha ruge ambae ana degree ya masoko kutoka chuo huko marekani, na kuhangaika na gwajima mwenye phd
huon na yeye anapoteza muda ...angeutumia muda vizuri kujifunza utawala bora hata kua na masomo.ya jioni.chuo.kikuu
 
Inashangaza pale mtumishi wa Mungu anavoanza kuingilia mambo ya siasa.......
Na inashangaza pia pale mtu wa serikali anapoingilia mambo ya dini na kusema flani sio askofu ...na pia inasikitisha kuona mtu wa serikali kuingilia uhuru wa vyombo vya habari kwa nia ovu ya kuchafua watu tena wenye elimu zao ila yeye zero kichwani zero kwenye maisha zero.in everything
 
mchungaji kajanja anahubili ubuyu kuliko neno aliloagiza yesu anatumia muda wake mwingi kumchafua mtu kuliko kuhubili neno kweli hizi ni nyakati za mwisho
Lakini yeye na ruge wakichafuliwa ni sawa tu na kuongea live redion kwamba tumemkomesha kwaio ni sawa si ndio nyie zero brain?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…