Gwajima: Makonda ni zero brain, amuomba Magufuli kumpangia kazi nyingine

Gwajima anahangaika bure tu na mambo yasiyomuhusu. Anamuhubiri Makonda badala ya Mungu, alafu na waumini wake wanaitikia ameeee...eennn!! Ajabu sana
Ni andiko gani katika Biblia linalomzuia Gwajima kumkemea Bashite kama muovu? Biblia imejaa makemeo. Isome vizuri. Kuna watu waliambiwa wazi wazi kuwa ni wachawi, sembuse Gwajima kumsema Bashite kuwa ni zero brain na hiyo zero brain ndio inamfanya awe mhalifu na asiyefaa kupewa nafasi aliyopewa. Ukizama kiroho utabaini kuwa Gwajima anaisaidia nchi na anamsaidia mkuu wa nchi. Anachokifanya kinapunguza kasi ya vitendo vya kihalifu vinayofadhiliwa na Bashite, lakini ukimtazama katika jicho la kutopenda kumgusa Bashite kwa sababu zozote zile za kimwili, utamwona Gwajima kama anahangaika tu na hamhubiri Mungu. Kumbe ni Mungu yupi anaruhusu udanganyifu na hila?
 
Hii ndio ibada ya leo? Somo limetoka katika kitabu gani? Kweli I don't like Bashite coz alishindwa kutoa evidence ya elimu yake, lakini kwa ibada hizi...I'm out!!
 
Hiyo namba 0755543803 imesajiliwa kwa jina la Albert Malyagili na siyo Albert Nyange Bashite kama Askofu Gwajima anavyosema??

Nadhani Askofu Gwajima Kuna jambo analitafuta akifikiri kinga yake ni yeye kuongea akiwa ktk madhabahu pa Bwana kwa imani kuwa Serikali inaheshimu Uhuru wa kuabudu.

Ni vizuri tu mtumishi wa Dini kuwa kioo cha jamii kama ilivyo kwa wasanii,viongozi n.k.

Utajapata na kushikwa pabaya usione mlango wa kutoka siku iko njiani yaja upesi kama mwenendo wako ndiyo huo.
Kwa sasa hilo pigia mstari, kashalikorogo mchungaji wako, waswahili wanasemaje, atalinywa!
 
Tumepewa namba hapo za mzee Bashite je kuna yoyote kafanya kautafiti aweke hapa ni kweli so called Baba Bashite ni baba mzazi wa Rc?
 
Pamoja na shutuma anazodaiwa kuwa nazo mkuu wa mkoa wa dar, lakini kugeuza nyumba za ibada kuwa za mipasho ya kueleza madhaifu hayo, katika hali ya ustaarabu, wa jamii au watu walio staarabika, sio sahihi. Nina wasiwasi kama Mungu wa hilo kanisa ndie huyu huyu anaeabudiwa na na waumini wa makanisa mengine. Na kama ni huyo huyo, nina shaka kama sala na maombi ya kiongozi wa kanisa hilo na waumini wake, huwa anayasikiliza na kuyapa uzito.
Halafu kalikuwa kananyanyua mikono eti tarumbeta inakapa upako, huku rohoni kamejaa mipasho na roho wachafu,
 
Gwajima anahangaika bure tu na mambo yasiyomuhusu. Anamuhubiri Makonda badala ya Mungu, alafu na waumini wake wanaitikia ameeee...eennn!! Ajabu sana
....Mambo yasiyomhusu kivipi wakati wakati ameitwa mchungaji feki? Alishatoa angalizo kwamba single touch....
 
Gwajima anahangaika bure tu na mambo yasiyomuhusu. Anamuhubiri Makonda badala ya Mungu, alafu na waumini wake wanaitikia ameeee...eennn!! Ajabu sana
HII haina tofauti na waumini mazombie wale wa lumumba waliopo mjengoni... wanaoitikia MJENGONI kila hoja wao ''NDIOOOOOOOO'' umeolewa? ''NDIOOOOOOOO!!'' maaawe!! mwafwa!!
 
Back
Top Bottom