Gwajima: Makonda ni zero brain, amuomba Magufuli kumpangia kazi nyingine

Ukiangalia na kumsikiliza nabii bushiri alichoongea kuhusu unabii juu ya Lowasa ni tofauti na alichojibu gwajima,
Maana bushiri alitabiri roho ya kuugua sio mauaji yanayofanywa na watu, lenyewe likajibu eti wanataka kumuua lowasa,
Na hata ukiwatizama utaona bushiri ni mwenye busara zaidi anapoongea madhabahuni kujibu shutuma za gwajima, hako ni kachokoraa tu,
Inasemekana bushiri kafungua kanisa dar kwa hiyo waumini wake wanamfuatabbushiri sasa ndio tatizo lilipoanzia kakaona kadandie treni kwa mbele,
 
Kwa kuwa 2020 sio rafiki wa Mkulu
Anahitaji zero brains wengi kuongoza kamati za ulinzi na usalama ili kuwatumia polisi kudhibiti wapinzank na kutisha wananchi kwa Faida ya mtakatifu wa taifa
Gwajima anapoteza muda
Zero brains kwa Magu ni Muhimu kuliko smart dudez
Oh kumbe ndio sababu, nilikuwa napata shida kuelewa kwa nini mheshimiwa JPM anamkumbatia Makonda.
 
Gwajima anahangaika bure tu na mambo yasiyomuhusu. Anamuhubiri Makonda badala ya Mungu, alafu na waumini wake wanaitikia ameeee...eennn!! Ajabu sana

Hivi mambo yasiyomhusu vipi, wakati Makonda alimwita askofu uchwara? akikaa kimya ataoneka na kweli uchwara
 
Hivi mtu mwenye PhD, siku zote anahangahika na mtu mwenye zero brain? Hii inaingia akilini kweli? Hapa inaonyesha huyu mwenye zero brain ndiye aliyekwenda shule maana kila uchwao lazima ajadiliwe.
 
Leo akiongea katika kanisa la UFUFUO NA UZIMA maeneo ya Ubungo Tanesco amesema kwamba Makonda au bashite ni ziro brain na kwamba bado hana uwezo wa kuongoza watu na pia kumuomba Mh Rais Magufuli ampangie kazi nyingine.

" Professa Muhongo alipendwa na Rais Magufuli sana lakini siku ya mwisho ameondolewa, itakuwa huyu mwenye ziro brain yaani sifuri kabisa..." alisema MchungajiJosephat Gwajima.

Pia amesema hawezi kila siku kuongelea kuhusu huyu Bashite na kwamba ana shughuli nyingi za maendeleo za kuzifanya na huu mjadala wa Daudi Albert Bashite ameshaufunga sema kuna vijana wanamchokono chokonoa sana.
"..alikuwepo Kamanda Kova, Sheikh Yahaya lakini Leo wako wapi? Atakuwa huyu ziro brain kabisa yaan hamna kitu kichwani (Bashite)..." Alisema Dr Bishop Josephat Gwajima.
Pia ameenda zaidi na kutoa no ya baba yake Paul makonda ambaye ni Albert Nyange Bashite ambaye ana no ya simu iliyosajiliwa kwa jina hilo 0755543803 MPESA.
Amesema Makonda anamtukana Ruge wa Clouds na kwamba RUGE ana Degree of Marketing toka Califonia Marekani (USA) pia kitendo cha makonda kuvamia Clouds sio Uvamizi but ni igizo lakini kwa nini alienda na Askari wenye silaha katika studio za Cloids Media.
Nape ana elimu kubwa sana amesoma India diploma, degree pia na Masters amechukua Mzumbe lakini Bashite/ Makonda hana hata Cheti cha Nursery wala Certificate..

Gwajima amesema pia kwamba yeye ana PhD na kwamba Makonda sio size yake kabsa kwa sababu yeye ni ziro brain.
140b2cbcc23e4cbbab5e534b9f70a370.jpg

Amwambia Antony Diallo kwamba kwa nini alimruhusu huyu Ziro Brain ambaye alikataliwa na Media zote.

Antony Dialo amemwambia Gwajima kwamba " nilimpa nafasi Mh Paul Makonda katika kituo changu ili atoe vyeti vyake kwa maana ndo tulivyokubaliana..." in Gwajima voice

"wakati Makonda akiwa Mkuu wa wilaya ya kinondoni, majimbo yote ya Kinondoni kama Kawe, kinondoni etc yalichukuliwa na upinzani hii inamaanisha kwamba jamaa bado ni ziro brain kabsa.." in gwajima Voice

F hadi bible knowledge
 
Back
Top Bottom