Gwajima is a whistle blower

nafikiria bwana yule ataombaje kura 2020, mana mpaka sasa sijui katimiza lipi zaidi ya majungu, kajeli, dharau, kiburi na majivuno kwa wananchi wake
 
Shikamooo Tanzania . kwa masifa ya bwana mkubwa kuliko presidaaa angeweka vyeti hadharani ila kwa kuwa ni KIHIYO nadhani anabebwa na brooo wa tz
 
Hyo whistle ndo akaipigie central sasa, you can't compete with the government

kwani anapambana na serikali au anasema ukweli kuna mtu kanunua vyeti, pia kama bashite hana vyeti fake si anaweza kwenda mahakamani tu kupeleka vyeti afu akadai fidia anachafuliwa , ila uyu bwana hana vyeti kwaiyo kilichobaki anatumia postion power kupinga zero yake , na watu kama nyie sijui kwanini mna support ujinga wa serikali
 

Gwajima siyo vetting officer wa wateule wa Rais au wafanyakazi wa serikali!!!!!!!
 
Whistle blowers, Steve Nyerere na Bashite mwenyewe walienda polisi ya wapi ili sheria ifuate mkondo kweli kweli! Si wamenyamazishwa tu lakini wengine wakifanya vile vile wanakamatwa ijumaa! Iko siku utakuja kuelewa tu!
 

unafiki ni bwana yule aliyemteua bashite mana alisema hadharani kuwa anamjua details zote na hawezi kuteuwa mchafu, na mnafiki yule ambaye anatumbua watu kwa vyeti fake wakati kuna mmoja anashindwa kumtumbua kisa mahaba yake na mwisho tunataka cheti original hata kama gwajima mnafiki kasaidia kujua bashite ni fake anapaswa kuwa jela miaka mitatu
 
Gwajima bado ana laana ya kumchukua mke wa Emmanuel Mbasha.
 
ye kasema eti anaongea na familia yake kama mkuu alivoenda kwenye tv et...
 
 
Gwajina ana Hekima! Hekima ipi hiyo? Ndo maana nasema tunaendesha ushabiki. Mwaka jana tu alipotutuswa kwa kumtukana Kadinari Pengo, hadi akazimia wewe ulikuwa na umri gani?
 
Gwajina ana Hekima! Hekima ipi hiyo? Ndo maana nasema tunaendesha ushabiki. Mwaka jana tu alipotutuswa kwa kumtukana Kadinari Pengo, hadi akazimia wewe ulikuwa na umri gani?
Hatuongelei ya mwaka Jana hi ni issue ya Daudi Bashite haina uhusiano na Pengo
 
Afichae moto upande wa nguo hakika moshi utamuumbua
 
Bashite yupo bize na kubadili staili za sala na swala...hakyananii, hii ya kuhudhuria swala ijumaa na ibada jumapili lazima ile ziro igeuke kua iv
Anaombewa kila siku kwa sababu gani? Ili vyeti vipatikane au hii ishu iishe ghafla tu?
 
Jitoe ufahamu mpaka uwe dc


Wewe sijui nitumie neno gani? Nani kakuambia nina shida ya Udc? Gwajima alitakiwa alijue hili kuwa kule kupimwa na kupekulkwa ni muendelezo tu wa yeye kuwa katika rada.

Na washawasha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…