Jitoe ufahamu mpaka uwe dcKwani hii vita iliyo anzishwa na mkuu wa mkoa na baadae kamishina baada ya kuteuliwa akapokea kijiti ilihusu utumiaji na kupimwa tu? Au madawa ya kikosekana nyumbani ndio cheti cha kuto kujihusisha hata kama awali ulituhumiwa? Je una kuwa ndio mwisho wa kuchunguzwa? Kumbuka kulikuwa na muda ambao watuhumiwa walipewa kujisalimisha pengine wakautumia na kujipanga.
Mkuu umena wapi kiongozi wa dini kuvunja utaratibu wa muda alio pangiwa wa kuripoti polisi na akaachwa bila kuchukuliwa hatua.
Na washawasha!
Siamini kama kwa askofu hakuna chumba cha spare kuwalaza hao wageni na chakula cha kuwalisha mpaka wamtoe ndani.hawa jamaa wana calculation za kijinga sana.
sidhani kumkamata na kumweka ndani gwajima,italeta hofu kwa wanao hoji uhalali wa elimu ya ndg. daudi bashite aka paul makonda,bali itawapa kiburi zaidi cha kuendelea kukazia hoja zao.
Mkuu mnafk tuuu.aache double standardVipi kwaya ya ufufuo ilikwenda kutumbuiza kituo cha polisi? Au kauli ya mkuu inafanya kazi.....weka nao ndani wakaimbie hukohuko.. Mkuu hataki ujinga
Kuna tofauti kati ya mungu bahari ma Mungu wa Elia. Waache waendelee kumdanganya vyeti havitabadilika ng'oTena ndio wanatufanya tuzidi kufuatilia swala hili, tunae tu Daudi Bashite hata akiombewa na sisi tunaomba dua zetu.
Kwani yule ana dhiki kama wewe????mwache atumie pesa zake kwa maslahi ya taifa.anampa sapoti ******** kupambana na vyeti fekiHuyu mchungaji naye haeleweki kabisa,
Gharama zote hizo za nini kuwatoa watu kijijini mpaka Dar, au wao watasema kitu tofauti na alichokisema yeye..?
Si alisema ana vyeti vyake kwa nini asivitoe tu vyeti tuvione kuliko kutuletea maneno maneno.
Wakati mwingine nawafikiria sana kondoo wake naona kuna sehemu wana mapungufu.
#Toa_vyeti mchezo uishe
Mkuki kwa nguruwe eee. Wakati Bashite anaropoka majina ya watu ovyo hadharani mbona hukuja kutema uji wako hapa. Tunachotaka ni vyeti bla bla hatutaki kusikia.Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Hao wazee Wa ccm,hata wewe waweza nunua kanzu ukaivaa ukapiganae picha eti mm sheikh namuombea dua.njaaa mbayaaaHawa viongozi wa dini nao wanapelekwa pelekwa kweli na Davido.Au kwa kuwa misikiti na makanisa yao yapo kwenye mkoa wake?
Bashite atamshikilia gwiji Gwajima hadi lini?
NBashite anajaribu kizima moto kwa petroli
You have no expertise in recognising the legal evidence, so dont ask for it, or if you can use your brain to atleast 0.5 percent of its capability then every piece of the puzzle is starting to come on its place beautifully!!
Inawezekana kutumikia mabwana wawili sharti uwe kichaa yani mgonjwa wa akiliMwambieni huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, Adhana uwe msikitini na kengele zikilia uite Bwana Yesu.
Bashite kilaza kwelikweli.....hahaaaaa ningekuwa mie nimemuajiri nami nikilaza zaidi....hahahaaaa...
Godess of 10000 names! Google pls! ThanksISIS ni upepo au binadamu?
Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Umeliona suala la Utajiri/Umaskini tu..?Kwani yule ana dhiki kama wewe????mwache atumie pesa zake kwa maslahi ya taifa.anampa sapoti ******** kupambana na vyeti feki
harafu kwa nini anachanganya hizi imani mbili tooofauti,Bashite yupo bize na kubadili staili za sala na swala...hakyananii, hii ya kuhudhuria swala ijumaa na ibada jumapili lazima ile ziro igeuke kua iv
Dalili za mtu anaekaribia kuchanganyikiwa, hajui aamini ipi, haamini aabudu kwa namna gani maombi yake yajibibe...kwanufupi AMEKENGEUKAUmeliona suala la Utajiri/Umaskini tu..?
Anyway naona maneno ya Emmanuel Mbasha yanaanza kutimia
harafu kwa nini anachanganya hizi imani mbili tooofauti,