Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 850
Ok, fair enough.
Ila unajua kuwa Gwajima naye alidai kuwa anao ushahidi wa kuwa Paul Makonda anaitwa Daudi Bashite?
Sasa vipi na Gwajima naye...atuonyeshe huo ushahidi anaodai anao au yeye tumpe pass?
Manake kasema anao lakini hajatuonyesha...sasa what if kama anatudanganya tu?
Technically Yesss.Mwambieni huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja, Adhana uwe msikitini na kengele zikilia uite Bwana Yesu.
Hawa wanaomuombea sijuin wataweka wapi sura zao pindi atakapotumbuliwa. Manake wamepiga na foto kabisa..Yupo serious sana hapo nahic mtume alimshukia akasemezana nae kwa lugha...leo kakumbuka kuvaa kiustadhi ..hajavaa viatu katinga sendo
Haaaaa haaaa, rudisha mbavi zanguBashite yupo bize na kubadili staili za sala na swala...hakyananii, hii ya kuhudhuria swala ijumaa na ibada jumapili lazima ile ziro igeuke kua iv
You're right, Gwajima is not a spiritual leader, he's just a populist. Hata waumini wake yabidi wachekiwe bongo zao, no wonder wanasema imani ni sawa na mihadarati, ikikolea huwezi kuelewa mtu anakuambia nini.Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Punguza presha,Utakufa bure!Kwa hiyo huo ndo ushahidi kwamba Makonda ana vyeti feki?
Like seriously...?
Hoja hapa MADAWA YA KULEVYA, THIBITISHENI PASIPO SHAKA KUWA HAMJIHUSISHI!!!Daudi Bashite has nothing to do with rapid rise of mateja mtaani. Tell us how to solve it. Counter offer not required at the moment kwa kuwa mwenyekiti wetu na Mtumishi wa Mungu elimu zao zina walakiniWengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kolomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Ok, fair enough.
Ila unajua kuwa Gwajima naye alidai kuwa anao ushahidi wa kuwa Paul Makonda anaitwa Daudi Bashite?
Sasa vipi na Gwajima naye...atuonyeshe huo ushahidi anaodai anao au yeye tumpe pass?
Manake kasema anao lakini hajatuonyesha...sasa what if kama anatudanganya tu?
Well...kwani bado yuko ndani?Si wamemfanyia visa yuko rumande? I guess ilikuwa atoe jumapili hii kila kitu
Hawajui ndo wanazidi kutupa mashaka zaidhawa jamaa wana calculation za kijinga sana.
sidhani kumkamata na kumweka ndani gwajima,italeta hofu kwa wanao hoji uhalali wa elimu ya ndg. daudi bashite aka paul makonda,bali itawapa kiburi zaidi cha kuendelea kukazia hoja zao.
Hapa Daudi Bashite wanamjazia majini tu.
Huyu jamaa anaweweseka, Mungu hapendi waovu
Gat ya broda
"If anyone thinks he is religious and does not bridle his tongue but deceives his heart, this person's religion is worthless." - James 1:26.
Wote tunaijua Biblia vizuri sana.
We spent half of our lives studying, researching... please do not insult our Intelligence. Was that a wrist blowing or provocative act?
Stop distorting the name of Jesus in order to propagate hate, cause mistrust in our communities.
Tusitafute umaarufu kwa gharama za kuwadhalilisha wengine.
Wahenga walinena "Kidonda cha kujitonesha, mtu haambiwi poleee".
Promote peace and build bridges of good understanding between communitiea after communities.
We earn respect by respecting others.
Yupo serious sana hapo nahic mtume alimshukia akasemezana nae kwa lugha...leo kakumbuka kuvaa kiustadhi ..hajavaa viatu katinga sendo
Tatizo ni ukabila nduguBaba bashite anazunguka na ziara zake tu, elimu ya mwanae haimuhusu, mawaziri wote wa elimu kimyaaaa...hakuna aliyejitokeza kutoa ufafanuzi..maajizo kutoka juu ni kumkamata Gwajima...hakika elimu ya bashite inatia mashaka sanaa