Mtumishi wa Mungu anaogopa nguvu za Binadamu? Chadema ni bunch of stupid people, zero logic!
Nakubaliana na askofu GwajimaAkiwa Kanisani kwake leo maeneo ya Ubungo Ufufuo na Uzima, Gwajima amempongeza Rais Magufuri kwa hatua aliyofikia ya kuchunguza makontena ya Mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi na kumtaka kuendelea hivyo hivyo kwa hatua aliyofanya pamoja na kuchukua hatua kwa waziri wa nishati Pro Muhongo
Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
Akiwa Kanisani kwake leo maeneo ya Ubungo Ufufuo na Uzima, Gwajima amempongeza Rais Magufuri kwa hatua aliyofikia ya kuchunguza makontena ya Mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi na kumtaka kuendelea hivyo hivyo kwa hatua aliyofanya pamoja na kuchukua hatua kwa waziri wa nishati Pro Muhongo
Ungekua unamuona kama hamorapa ata kujibu husingejibu, hadi unaandika bila shaka anayosema yanakugusa.Nani tena anafuatilia habari za Gwajima? Mi siku hizi namuona kama Hamorapa tu.
Haujamjibu, ameuliza wewe unasali kanisa lipi, mbona hilo swali ni la maneno machache Kwenye jibu ila unalikwepa?Wanaongoza kukashifu imani za wengine ni hao wajiitao wachungaji so kama wewe ni muumini kuwa mpole .....