Gwajima azungumzia sakata la madini,Mwenge na kuwatahadharisha wanaomchokoza

Gwajima anazungumzia mabonde hv hajui sheria walizoweka fisiem .
Au ndo kupaka rangi ..
 
Kidogo unaweka ukakasi pengine nikutojitambua.Unawazungumzije waumini karibu ya maelfu walio ktk kanisa linaloongozwa na mch.Gwajima? Wewe akili yako iko sawa kweli ama ni dharau za kutojimbua au ni wa dini Fulani ile
Mjinga dawa yake kumyamazia kama hujui kasema nn

Bashite amehonga na kununua kipindi hawajasema ila Gwajima ndio wanaona kwamba ni tatizo
 
Mnaosali kwa gwajima mnamatatizo ya kisaikolojia.
Waache wasali, ni maamuzi yao, ni watu wazima na akili zao, hawajalazimishwa na mtu kwenda pale kusali, wameamua kwa hiyari na utashi wao, sioni haja ya wewe kuwakashfu

Mbona mimi najua wote wanaosali hawana akili maana wanamuomba mungu ambae hayupo, kitu kinaitwa Mungu hakijawahi kuwepo na wote wanaokiomba hawana akili maana kitu hicho hakipo lakini siwezi kuwatuna maana najua wameamua kwa utashi wao.

Lazima uishi kwa kuheshimu mawazo na fikra za watu wengine.

Wewe sema unasali/kuswali wapi nikuonyeshe jinsi usivyo na akili kusali mahala hapo.
 
Waache wasali, ni maamuzi yao, ni watu wazima na akili zao, hawajalazimishwa na mtu kwenda pale kusali, wameamua kwa hiyari na utashi wao, sioni haja ya wewe kuwakashfu

Mbona mimi najua wote wanaosali hawana akili maana wanamuomba mungu ambae hayupo, kitu kinaitwa Mungu hakijawahi kuwepo na wote wanaokiomba hawana akili maana kitu hicho hakipo lakini siwezi kuwatuna maana najua wameamua kwa utashi wao.

Lazima uishi kwa kuheshimu mawazo na fikra za watu wengine.

Wewe sema unasali/kuswali wapi nikuonyeshe jinsi usivyo na akili kusali mahala hapo.
Wanaongoza kukashifu imani za wengine ni hao wajiitao wachungaji so kama wewe ni muumini kuwa mpole .....
 
hahaha. jifanyeni hamjui tu
tafuteni wimbo wa solo thong ( mtoto uyu vipi mtoto hashikiki
 
Gwajima kuwavua mataulo wanaomchokoza
Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewatahadharisha wanaomchokoza akisema ni sawa na mtu anayeanzisha ugomvi huku akiwa amevaa taulo.

Akihubiri leo, Gwajima amesema wakiendelea atawavua mataulo ili jamii iwaone.

Bila kufafanua kuhusu kauli hiyo, Gwajima amesema hawezi kunyamaza wakati watu wanaendelea kumfuata fuata.

"Leo nitakwapua mataulo ya watu,"amesema huku akishangiliwa na waumini wake.

Madini
Dar es Salaa,. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ni muhimu madini yasichimbwe hadi itakapowekwa mashine za kuchenjua makinikia.

Akizungumza kwenye ibaada kanisani kwake leo Askofu Gwajima amesema, "Tusiogope kushtakiwa Magufuli(Rais John) piga marufuku makinikia kusafirishwa nje."

"Madini yaliyopo Tanzania ni zaidi ya 300 lakini bado tuna umaskini tumelogwa na nani."
 
Leo katika mahubiri yake alikuwa akizungumzia swala la uchawi wa kufungwa kutooana (kuinamishwa) kazungumzia mengi hasa mali tulizonazo kuanzia maziwa, mito, mbuga lakini tunalia pia migodi ya dhahabu kuwa tumefungwa hatuoni.

Ana sema anauliza kwanini mwenge unakimbizwa nchi nzima mtaa kwa mtaa unamaana gani? Je unazunguka kutulaza? (Kutuloga)

Anataka aupige ila akijibiwa ndo ataupiga vizuri.

Sasa lengo la kuanzishwa mpka leo unakimbizwa kufanya nini na kwa gharama kubwa? Kwanini wasiukimbize toka mwenge hadi posta tena live kwenye tv na radio si inatosha?

Huu mwenge sio unatuinamisha watanzania tusione?

Kunanini kwenye mwenge?

Kama Magufuli kaanza na madini na hili litamshindaje? Maana usiku huwa watu hukutana kwa maovu tupu na hasara kwa taifa.
 
Mbona wewe na huyu mchungaji mmekuwa mnaiba sadaka waumini wametulia tu. kinawawasha nini kila siku Bashite?
 
Hata mimi sioni faida ya huu mwenge heri serikali iuzime itumie hizo pesa kufanya maendeleo ila kma wanaona ni muhim sana basi angalau baada ya miaka 4/5 ndo uzungushwe nchi nzima
 
Back
Top Bottom