Gwajima azungumzia sakata la madini,Mwenge na kuwatahadharisha wanaomchokoza

huo mwenge hata historia yake mpka kuanzishwa imejaa mambo ya kichaw chawi tu.
 
Heshima Mkuu!

Hivi kanisani kwake kila mtu ni Tajiri?.Kama siyo, Je hao ambao si matajiri wamelogwa na nani?.Jibu litakalopatikana hapa basi itakuwa ndilo sahihi kwa swali aliloliuliza.Nb;Hili swali si lazima lijibiwe.

Ipo haja ya kukesha huku tukumuomba Mungu atupe Hekima, Busara na Maarifa.
 
Mtumishi wa Mungu anaogopa nguvu za Binadamu? Chadema ni bunch of stupid people, zero logic!

Bora Chadema kumi UVCCM na Wanachama wa CCM ambao hata maovu hushangilia nankuandamna ili kujionyesha Taifa kwamba wamekubaliana na Maovu,akija mwingine alisema haya ni maovu basi kufanya maandamano mengine kukubali anayoyasema kwamba ni maovu.

Hakika CCM is bunch of killers
 
Akiwa Kanisani kwake leo maeneo ya Ubungo Ufufuo na Uzima, Gwajima amempongeza Rais Magufuri kwa hatua aliyofikia ya kuchunguza makontena ya Mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi na kumtaka kuendelea hivyo hivyo kwa hatua aliyofanya pamoja na kuchukua hatua kwa waziri wa nishati Pro Muhongo

yale matangazo yake kwamba leo angeliamsha dude kuhusu star tv mbona kimya maana askofu kawa mzee wa kiki now days
 
Akiwa Kanisani kwake leo maeneo ya Ubungo Ufufuo na Uzima, Gwajima amempongeza Rais Magufuri kwa hatua aliyofikia ya kuchunguza makontena ya Mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi na kumtaka kuendelea hivyo hivyo kwa hatua aliyofanya pamoja na kuchukua hatua kwa waziri wa nishati Pro Muhongo

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na askofu Gwajima
 
Hili dude halijaweza kuamka leo naona.
 
Attachments

  • FB_20170524_17_21_43_Saved_Picture.jpg
    FB_20170524_17_21_43_Saved_Picture.jpg
    171.7 KB · Views: 22
Akiwa Kanisani kwake leo maeneo ya Ubungo Ufufuo na Uzima, Gwajima amempongeza Rais Magufuri kwa hatua aliyofikia ya kuchunguza makontena ya Mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi na kumtaka kuendelea hivyo hivyo kwa hatua aliyofanya pamoja na kuchukua hatua kwa waziri wa nishati Pro Muhongo

Who is gwajima? Huyu ni mganga wa kienyeji, hajui lolote kuhusu haya mambo ya science!
 
Hivi hii ni ibada, kongamano, mdahalo au mkutano wa hadhara? naona maigizo tuu mwanzo wisho halafu mtu amefunga safari eti anaenda kanisani!!! hivi????
 
Back
Top Bottom