Askofu Gwajima leo anaendelea na mafundisho muhimu katika kanisa la ufufuo na uzima!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
87,886
150,979
Askofu Gwajima leo ataendelea kuwasha moto wa roho mtakatifu ibadani katika kanisa la ufufuo na uzima.

Ibada ni saa 5:30 mubashara Rudisha tv!

Karibu.
 
Natumai leo atakuwa na maombi maalum ya kuwafufua misukule yake msioamini chanjo.
 
Askofu Gwajima leo ataendelea kuwasha moto wa roho mtakatifu ibadani katika kanisa la ufufuo na uzima.

Ibada ni saa 5:30 mubashara Rudisha tv!

Karibu.
Yani mie na akili zangu niende kusali kwenye kanisa la mabati ambaye mmiliki wake anatembelea Hammer?

Kweli ujinga kwa mtu mweusi ni kipaji
 
Kanisa siyo jengo.

Usamehewe bure!
Ni kweli kanisa siyo jengo, lakini pia hummer siyo uaskofu. Unaweza kuwa askofu bila hummer, na hiyo pesa ya hammer ukaitumia kujenga zahanati/shule nzuri kwa wananchi au waumini wako. Wewe umekuwa brainwashed ndiyo maana unasema kanisa siyo jengo huku unayemuamini anatumia ujinga wako na waumini wenzako kujilimbikizia mali, huku wewe ukingoja kufufuliwa na muongo Gwajima ukifa.
 
Back
Top Bottom