Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Hapo wewe hujioni kama ni mpuuzi kuliko yeye?Asweke ndani tu, angekuwa Mwl. Nyerere wala asingemkawiza mpuuzi huyu
Hapo wewe hujioni kama ni mpuuzi kuliko yeye?Asweke ndani tu, angekuwa Mwl. Nyerere wala asingemkawiza mpuuzi huyu
Kama hujaelewa hilo suala limeshavaa udini tayari.Sijui kama mi ndio sielewi; kwanza kupitia maandishi ya Nipashe sioni kama Gwajima katoroka, sababu yeye kaondoka siku 1 kabla ya police kwenda nyumbani kwake, lakini pia kama mapendekezo yake yale kwa JK ni uchochezi mbona Jenerali Ulimwengu nae ni kama alipendekeza kitu kinacho fanana na hicho cha Gwajima, tena yeye kafanyia mahali ambapo kulikua na vyombo vingi (kama sio vyote) vya habari na akaenda mbali zaidi kwamba JK ashitakiwe? Huyu nae sio mchochezi kweli? Anyway, sijui bana
Kumbe wewe nawe akili zako kazishikilia olesendekaKuita CCM dudu baya ai uchochezi? Kumtaka Rais ahame CCM na kuanzisha chama kingine si Uchochezi? Kuwataka waamini wake waichukie CCM na kuwalaumu wale wanaoipenda si Uchochezi? Kutumia nyumba ya Mungu kufanya mahubiri ya kisiasa si uchochezi? Kweli CHADEMA wote akili zenu zinashikiwa na Mbowe
We usidhani bado kuna vyeo huko chadema, badilika uwe na busara sasa. Acha kuandika kishabiki kumfurahisha bosi wako.Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?
Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Gwajima hajafanya siasa.Ni kweli kaka si uchochozi ila, kwa upande wangu huyo Mchungaji ni vema angeendelea kutoa huduma za kiroho kwa waumini wake. Aache mambo ya siasa maana hata mimi namuona kama anajichanganya sana.
Ccm ni zaidi mdudu mbaya sana hapa tanzaniaKuita CCM dudu baya ai uchochezi? Kumtaka Rais ahame CCM na kuanzisha chama kingine si Uchochezi? Kuwataka waamini wake waichukie CCM na kuwalaumu wale wanaoipenda si Uchochezi? Kutumia nyumba ya Mungu kufanya mahubiri ya kisiasa si uchochezi? Kweli CHADEMA wote akili zenu zinashikiwa na Mbowe
Tunamshukuru sana mchungaji gwajima kwa kutufumbua macho na kuyajua yanayo endelea ndani ya ccmAlimponda pia na Rais Mstaafu na pia amemponda Amir Jeshi Mkuu kwa kumwita Shetani
Huyu jamaa hajui nn maana ya uchochezi[Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?
Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Uchochezi kwa mujibu wa kamanda sirro ni, kuwa LABDA unamchochea rais abadili KATIBA INAYOLINDA MAJIPU.Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?
Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Lizaboni ni kati ya vijana wasiyo heshimika hata kidogo kwa jinsi anavyojiondoa utu kisa kuitetea ccmYaani natamani nihack JF nikupige ban mkuu!!...... Mtu kutoa maoni yake juu ya nchi yake wewe unaita ni uchochezi??? Ina maana hatuna uhuru wa kuzungumzia maovu na uozo unaoendelea hapa nchini??? Ina maana hii nchi hakuna uhuru wa kujieleza??? Unaifahamu katiba yetu inasema nini juu ya uhuru wa kujieleza mkuu??
Wewe kweli hamnazo, mbona unamkosoa na wakati hapo juu umemtetea nilivyomwandika?Ila twende mbele na turejee nyuma wakuu, Mimi nahisi Gwajima saikoloji yake haiko sawa, hajui aongee nini sehemu gani. Yule ni mtumishi wa Mungu, kwa ajiitavyo yeye, sasa kwanini analeta siasa madhabaoni??
Maneno aliyoyasema Gwajima kama angeyatamka Mbowe,Lema,Zitto au mwanasiasa yoyote wala usingesikia habari ya polisi kuwasaka, ingechukuliwa kawaida tu.
Gwajima afikie wakat amuheshimu huyo Mungu wake anaemuamini.
Gwajima hamwogipi mtu yeyote. Ni mfano wa kuigwa kwa watu waliolelewa katika nidhamu ya woga.Yule mchungaji domo lake limefyatuka.
Bora awe mwanasiasa asijifiche kwa kofia ya kichungaji.
Ashatukana wengi sana
Kadinari Pengo, Jk na. Wengineo
Mwache aisome namba asijipendekeze kwa Magu
Mbona nawe unajionyesha udhaifu wako hapa, unataka kusema kuwa serikali imemshindwa kumkamata Gwajima?naona hiyo sheria yako uliisomea lumumba ndiyo maana bado umefumba machoKauli alizotoa kisheria ni za uchochezi. Nitashangaa kama hatakamatwa na kupelekwa mahakamani. Ifike kipindi wachungaji wa namna hii wajue kuwa nchi haiendeshwi kwa hisia za mchungaji fulani. Bali inaendeshwa na katiba na sheria mbalimbali za nchi "RULE OF LAW". Gharama ya kuirudisha AMANI ni kubwa sana, kuliko ya kuipoteza.
Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?
Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Haita pita muda anaambiwa ni mkimbizi huyo,kama mzee Ulimwengu. Awe makini kwaajili ya DolaGwajima hamwogipi mtu yeyote. Ni mfano wa kuigwa kwa watu waliolelewa katika nidhamu ya woga.
Kumkanya kwa kosa gani?Marekebisho kidogo mkuu, Polisi ni kwa ajili yetu sote bila kujali itikadi za vyama. Walitumwa na serikali kwenda kumkanya Gwajima. Hilo tu mkuu
Sasa hapo ndio umesema kitu gani?na kujichekesha chekesha?Hahaha Ngwajma kweli cheki bob yani kakimbia...Teh Teh...lazima ashikwe.
Mdudu ccm ni hatari sanaMtachukua mke bila kuwa na mshenga? Inawezekana?