amadeusity
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 560
- 291
Chama kinabana matumiz sio?? [emoji3][emoji3][emoji3]Siku hizi ni buku 2 fc,rekebisha hapo.
Chama kinabana matumiz sio?? [emoji3][emoji3][emoji3]Siku hizi ni buku 2 fc,rekebisha hapo.
nabii Isaya anasema:Asweke ndani tu, angekuwa Mwl. Nyerere wala asingemkawiza mpuuzi huyu
Gwajima hamwogipi mtu yeyote. Ni mfano wa kuigwa kwa watu waliolelewa katika nidhamu ya woga.
Pasco ebu rudia post yako uifanyie editing maana umeandika vitu vingine havisomeki nawe unajiita mwandishi nguriMkuu naunga mkono Watanzania tuwe makini na wachochezi, japo sio lazima wote wawe kweli ni wachochezi, bali demokasia ya ukondoo ikishamiri, mtu akitumia freedom yake of expression kutoa maoni mbadala, huonekana ni mchochezi!.
Ila pia makini na mdeia zetu ambazo nyingi ni mediocre tuu, mtu anatumia freedom yake of movement kwenda popote, anarripotiwa kuwa ametoroka, kiukweli Gwajima atakuwa yupo kwenye safari zake za kawaida na akimaliza atarejea na wala hajatoroka, kwa sababu Li Gwajima ni jitu linalotoka ile Kanda ya ile mijubu bold kweli kweli, kamwe hawezi kumuogopa yoyote zaidi ya Mungu!.
Pasco
Ukiongea ukweli Unaambiwa mchocheziHivi wale polisi walitumwa na CCM au serikali? Maana aliiponda CCM & sio serikali.
CCM acheni upuuzi.
Naunga mkono hoja kipengele cha KINGA YA KUTOSHTAKIWA kwa marais wastaafu kitenguliwe. Hiki kipengele kinawapa KIBURI sana hawa jamaa..! Wanavuruga watakavyo.
Tumbaku tupuUnachanganya mambo Israel lilikuwa taifa lote la kidini.Viongozi wa dini walikuwa na haki ya kisiasa kwani siasa ya nchi ilikuwa dini ya kiyahudi.Siasa na dini kwenye taifa la israel vilikuwa havitenganishwi kwa kuwa wote walikuwa dini moja
Tanzania haina dini.Unalinganisha mifano miwili tofauti.hILI TATIZO LIKO DINI ZOTE kwa wakristo na waislamu.Wote hudhani Siasa unaweza changanya na dini.Inawezekana siasa kuchanganya na dini kwenye nchi ambayo watu wote ni dini moja!!! Siyo kwenye nchi kama Tanzania!!!
Huyo jamaa yenu ana bahati si kipindi cha Mwl hiki make asingemkawiza. Angemnyoosha kwa mikono yake mwenyewe mpaka akiri zikamrudiaHapo wewe hujioni kama ni mpuuzi kuliko yeye?
Biblia haitumiwi kama kichaka na usirudie kuitumia katika maswala yasiyo ya MAANA tena, nakusihi sana.nabii Isaya anasema:
"piga kelele usichoke kupaza sauti yako kama tarumbeta uwahuburi watu wangu dhambi yao uwajulishe kosa lao"
Kwa hiyo Mwl Nyerere ndo alivyokua anafanya mwache mzee apumzike kwa amani usitake kumuongezea dhambi watu wa Bukoba mkojeAsweke ndani tu, angekuwa Mwl. Nyerere wala asingemkawiza mpuuzi huyu
Naona unaongea ugoro tu hapa jamvini kwa kuamua kushambulia kiongozi wa kiroho, hakuna uchochezi mbaya kuliko huu unao ufanyaHuyo jamaa yenu ana bahati si kipindi cha Mwl hiki make asingemkawiza. Angemnyoosha kwa mikono yake mwenyewe mpaka akiri zikamrudia
Wacha uwenda wazimu wako wewe wa kutaka kuwafumba watu midomo wakati wewe unaendelea kuuchongoaBiblia haitumiwi kama kichaka na usirudie kuitumia katika maswala yasiyo ya MAANA tena, nakusihi sana.
Hivi wale polisi walitumwa na CCM au serikali? Maana aliiponda CCM & sio serikali.
CCM acheni upuuzi.
Naunga mkono hoja kipengele cha KINGA YA KUTOSHTAKIWA kwa marais wastaafu kitenguliwe. Hiki kipengele kinawapa KIBURI sana hawa jamaa..! Wanavuruga watakavyo.
Kama hamwogoipi mtu mbona anajifungia chooni si ajitokeze ajikabidhi mikononi mwa polisi wanaomsaka
Na pumba kibaoTumbaku tupu
Utakufa wewe utamuaacha yeye anadundaHivi bado hajafa!??
Most of the African leaders can guarantie freedom of speach but not freedom after speach...![]()
Maoni yangu
Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.
Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
Acha uongo wewe Gwajima yupo tena nipo kwake salasala waandishi wa magazeti na'o ni maiti siku hizi wanakurupuka tu![]()
Maoni yangu
Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.
Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.