ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
LOL!Wasije wakawa wamemuulimboka halafu tukaambiwa ametoroka ili kutupoteza maboya.
LOL!Wasije wakawa wamemuulimboka halafu tukaambiwa ametoroka ili kutupoteza maboya.
Mkuu naunga mkono Watanzania tuwe makini na wachochezi, japo sio lazima wote wawe kweli ni wachochezi, bali demokasia ya ukondoo ikishamiri, mtu akitumia freedom yake of expression kutoa maoni mbadala, huonekana ni mchochezi!.Maoni yangu
Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.
Ikiwa kina Gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
Sijui wewe dini gani!Ila twende mbele na turejee nyuma wakuu, Mimi nahisi Gwajima saikoloji yake haiko sawa, hajui aongee nini sehemu gani. Yule ni mtumishi wa Mungu, kwa ajiitavyo yeye, sasa kwanini analeta siasa madhabaoni??
Maneno aliyoyasema Gwajima kama angeyatamka Mbowe,Lema,Zitto au mwanasiasa yoyote wala usingesikia habari ya polisi kuwasaka, ingechukuliwa kawaida tu.
Gwajima afikie wakat amuheshimu huyo Mungu wake anaemuamini.
Sijui wewe dini gani!
Katika biblia, sisi wakristo DINI & SIASA zinaenda sambamba.
Rejea, ujue Mungu mwenyewe ndiye aliyeruhusu wanadamu wawe na mamlaka zao na akaweka MANABII kuwasimamia.
Hivyo, karama zipo nyingi; Wengine wameitwa kwa hilo la kukemea WAFALME. Chukulia mfano wa SAMUELI, ELISHA, ELIYA nk,
Rejea mikasa iliyowakumba hao Watumishi, wengine walitupwa gerezani kwa kuwakosoa WATAWALA; Kwa mfano, MIKAYA (2 Nyakati 18), YEREMIA (Yeremia 38); Yote hii inatufundisha kuwa Mungu hutawala na wanadamu (Danieli 4) & huweka watu wa rohoni kumuwakilisha.
ELIYA alikimbilia UHAMISHONI baada ya kumkosoa MFALME AHABU na kutishiwa uhai wake (1 Wafalme 17 & 18). Hivyo, haya mambo hayajaanza leo, na hayataishia hapa.
Na UZURI, Mungu hakuwaacha WAFALME walioamua kuwatesa watumishi/masihi wake bali ALIWAANGUSHA (Kuna mifano mingi hapa).
IKIWA KWELI, Gwajima ni miongoni mwa hao MASIHI (wapakwa mafuta wa Mungu) basi atakapodhurika, sidhani kama Mungu atakaa kimya (kwa sababu hajawahi kukaa kimya).
"Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu." - 1 Mambo ya Nyakati 16:22
Ushahidi wa kukwea pipa?? Au nyumba take kuzingirwa?Amekweaje pipa wakati tumeambiwa nyumba yake imezingirwa? Au ulikuwa mkwara mbuzi? Ushahidi ni upi?
Kuna wakati police wana kuwa very bias,na wanajiaibisha.Marekebisho kidogo mkuu, Polisi ni kwa ajili yetu sote bila kujali itikadi za vyama. Walitumwa na serikali kwenda kumkanya Gwajima. Hilo tu mkuu
Hivyo, karama zipo nyingi; Wengine wameitwa kwa hilo la kukemea WAFALME. Chukulia mfano wa SAMUELI, ELISHA, ELIYA nk,
Kuna tatizo siasa hazimfai, zinamchafulia na kumharibia abaki tu kwenye mambo ya kiaskofu hana upako wa mambo ya siasaMimi sioni uchochezi wa Askofu Gwajima, kwanza alikuwa anaongea na waumini wake, Kwani kinachokukera wewe ni nini?
rais mstaafu lazima alindwe kwa kiasi kikubwa. nasema kwa kiasi kikubwa kwani kwa katiba ya sasa upo utaratibu wa kuweza kumuondolea kinga rais mstaafu. vinginevyo rais wastaafu wataburuzwa mahakamani na maadui wao kwa chuki zisizokua na msingi. ona jinsi mnavyomuandama ridhwani kwa chuki tu kwa kua mtoto wa rais. licha ya yeye kusema mwenye ushahidi dhidi yake aende mahakamani hamuendi mnafanya mtaji wa siasa za upinzani.Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?
Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Kwenye kile alichokisema tatizo liko wapi?Kuna tatizo siasa hazimfai, zinamchafulia na kumharibia abaki tu kwenye mambo ya kiaskofu hana upako wa mambo ya siasa
Mbona Dr. Sala ameoa akiwa aghaibuni bila mshengaMtachukua mke bila kuwa na mshenga? Inawezekana?
Kwa hiyo kumheshimu Mungu ni kunyamazia uovu!!!?Ila twende mbele na turejee nyuma wakuu, Mimi nahisi Gwajima saikoloji yake haiko sawa, hajui aongee nini sehemu gani. Yule ni mtumishi wa Mungu, kwa ajiitavyo yeye, sasa kwanini analeta siasa madhabaoni??
Maneno aliyoyasema Gwajima kama angeyatamka Mbowe,Lema,Zitto au mwanasiasa yoyote wala usingesikia habari ya polisi kuwasaka, ingechukuliwa kawaida tu.
Gwajima afikie wakat amuheshimu huyo Mungu wake anaemuamini.
Kwenye kile alichokisema, tatizo liko wapi? YEYODAYA