Anajua kabisa(with full knowledge) kuwa umefanya uhalifu ndo maana anakimbia. Mtazamo wangu kisheria: Alitenda(Actus reus) jinai hiyo kwa makusudi huku akijua ni kosa(mens rea). Lazima akamatwe na police au na mahakama au na mtu yeyote atakayemuona, na kumpeleka police ili ahojiwe(Hii ni kwa mijibu wa sheria mwenendo wa mashtaka CPA) Na kupelekwa mahakamani akasomewe hati ya mashitaka "charge". Tunataka AMANI ktk nchi hii. Viongozi wa dini wanatarajiwa kuwa wadau msingi kabisa wa kulinda amani yetu. Wanatakiwa kuwa "neutral" ktk harakati za kisiasa kwasababu waumini wao ni wanachama wa vyama mbalimbali. Huyu amevunja maadili ya dini na sheria za nchi. Sanctions against him (after due process) is the best opition, so that it becomes a good lesson to others. Sheria za nchi lazima zilinde amani yetu without fear or favour.