Gwajima atimka nchini. Adaiwa kuelekea Dubai

Gwajima atimka nchini. Adaiwa kuelekea Dubai

Kamati kuu imekutana leo na moja ya agenda ni kupanga tarehe za vikao vya nec na mkutano mkuu utkaomkabidhi panga ndugu magufuli kufyeka mafisadi waliosalia ccm
Pichani chini makamu mwenyekiti bara mzee mangula akisalimiana na makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao

IMG_20160618_105638.jpg
 
Ningekuwa nimekuumba mie ndo ningefikiria juu ya haya mashtaka yako lakini kwa vile sikuhusika wewe kuletwa duniani inabaki ni kihoja tu
Hiyo ni kawaida ya wana ccm kuleta vihoja badala ya hoja
 
Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?

Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Nashangaa sana mbona watu wengine nao wametoa mawazo yao marais waliomaliza muda wao washitakiwe. Iweje mchungaji tu.
 
Unakosea sana, simtetei na simkosoi ila namshauri tu , na ni kama ataweza ,kama hawezi achana na siasa basi hana haja ya kukimbia kimbia.

Jenerali Ulimwengu kaongea makubwa tu juz kati kuhusu Jk, umesikia anatafutwa?
Wewe kweli hamnazo, mbona unamkosoa na wakati hapo juu umemtetea nilivyomwandika?
 
Kuita CCM dudu baya ai uchochezi? Kumtaka Rais ahame CCM na kuanzisha chama kingine si Uchochezi? Kuwataka waamini wake waichukie CCM na kuwalaumu wale wanaoipenda si Uchochezi? Kutumia nyumba ya Mungu kufanya mahubiri ya kisiasa si uchochezi? Kweli CHADEMA wote akili zenu zinashikiwa na Mbowe
Ni kweli mtu huyu anapozungumza ni kama hupoteza fahamu, lakini kwa upande wa serikali pia haya ni matumizi mabaya. Kama CCM wametukanwa, basi huyo anayeitwa CCM angepeleka malalamiko polisi.

Sielewi kwa nini wanasiasa wanazuia nyumba za ibada kutumika kwa mambo ya siasa wakati wao wanatumia majukwa ya siasa kwa mambo ya kidini. Tuliona jangwani wakiletwa viongozi wa kidini kutoa sara na swala, Bungeni kila siku wanaanza na dua. Yaani wanasiasa wanataka kuitumia dini lakini viongozi wa dini wasiitumie siasa!
 
13450186_1123613427703114_7817727605358752487_n.jpg


Maoni yangu

Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.

Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
Nenda huko na uoga wako! unatamani watanzania wafungwe midomo? hilo kwasasa haliwezekani.
 
Hii ndio Africa...vyombo vyetu vya ulinzi viko busy na politics na kusahau majukumu yao ya msingi.
juzi nimevutana na Balozi wangu eti anataka nimpe sh 3000 ya ulinzi! watu wako wanakimbizana kwa mambo yasiyo na msingi! Ngwajima kuongea mtazamo wake wa mambo ndo aundiwe kikosi maalum cha kulinda nyumba yake! Ni nahisi kunamkono wa mtu kwenye uongozi huu! mbona mambo mengi wanaenda ndivyo sivyo? Au laana ya mzee Lowasa!
 
boo hoo...uchochezi uchochezi uchocheziiiiiiii...crybabies!!!
Kwanini msijikite kutekeleza hiyo sera yenu ya hapakazi tu mkajenga hivyo viwanda mlivyosema?? arrrrgh!!
 
Kwa JK alikuwa anatukana anaachiwa kwa huyu sasa inabidi atorokee nje ya nchi.Atamkumbuka Kikwete.
 
watanzania bwana,na pia inakuaje mtu kama yeye kuzungumza siasa kanisani au kwenye makusanyiko ambayo yanahusiano na imani?huu ni uchochezi pamoja sikubaliani na kikwete katika mambo mengi lakni kila jambo lina mipaka yake.

Jamani kama uko tayari kuongea non sense au some shit,usiogope kukutana na mwela.
 
Hivi wale polisi walitumwa na CCM au serikali? Maana aliiponda CCM & sio serikali.

CCM acheni upuuzi.

Naunga mkono hoja kipengele cha KINGA YA KUTOSHTAKIWA kwa marais wastaafu kitenguliwe. Hiki kipengele kinawapa KIBURI sana hawa jamaa..! Wanavuruga watakavyo.
NAUNGA MKONO HOJA YAKO. Wazo langu wanajua hana kosa ila staili iliyotumika walitaka kumzalilisha kwa kumbeba mzobe mzobe mpaka polisi ili augue tena. Ni mbinu ya kunyamazisha sauti za watu wanaogusa maslahi yao.
Walitakiwa kumuita kituo cha polisi, kama kakataa ndio wafanye wanavyofanya sasa!
 
wachungaji fake kama simu za kichina tu
13450186_1123613427703114_7817727605358752487_n.jpg


Maoni yangu

Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.

Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
 
watanzania bwana,na pia inakuaje mtu kama yeye kuzungumza siasa kanisani au kwenye makusanyiko ambayo yanahusiano na imani?huu ni uchochezi pamoja sikubaliani na kikwete katika mambo mengi lakni kila jambo lina mipaka yake.

Jamani kama uko tayari kuongea non sense au some shit,usiogope kukutana na mwela.
Kama asingesimama kukemea uovu huo nani angesimama, nani ana jeuri hiyo! Kwa kuwa wewe ni kiongozi wa dini basi hutakiwi kukemea uovu ULIOUONA kisa una rangi ya kisiasa. WAKATI MADHARA NI KWA JAMII YA Kitanzania wenye dini na wasio na dini. Ufanyike uchunguzi kama ni uchochezi kweli au WAKUBWA FLANI wameguswa pabaya,
Tujue sio kumtisha mtu na kumfunga mdomo kwa staili hiyo. Wamuite na kumsubiri kituoni atakwenda, kwani alishawahi kukimbia akiitwa mpaka wamsake kama jambazi!
Nina uhakika walitaka wampe kipigo(kumdhalilisha kama kumkalisha chini na pingu n.k) njiani kabla ya kumfikisha kituoni. Baadae wanamuachia kwa kuwa hakuna kosa au njia walioipanga ni aishie Hospitali mahututi kama ilivyotokea huko nyuma.
 
Kuita CCM dudu baya ai uchochezi? Kumtaka Rais ahame CCM na kuanzisha chama kingine si Uchochezi? Kuwataka waamini wake waichukie CCM na kuwalaumu wale wanaoipenda si Uchochezi? Kutumia nyumba ya Mungu kufanya mahubiri ya kisiasa si uchochezi? Kweli CHADEMA wote akili zenu zinashikiwa na Mbowe
Rudia kusoma kitabu kilichokufanya uelewe kuwa kuita CCM dudu baya ni uchochezi, kumshauri Rais aanzishe chama kingine ni uchochezi, kuzungumzia siasa kanisani ni uchochezi! Hivi unafahamu kama makanisa yenyewe yanasajiliwa "kisiasa"? Na kwanini hujawahi kulalamika pale viongozi wa kisiasa wa CCM wanapoingia makanisani na kunena siasa?
 
Back
Top Bottom