Zeddicus zul Zorander
Senior Member
- Jun 11, 2016
- 172
- 269
Kila ukweli mbaimbiwa mmnajificha kwenye mwamvuli wa uchochezi na kutumia police kunyamazisha!
...teh hee hee...kwahiyo gwajima 'kashindikana!?'Walimshindwa kipindi akiwa mgonjwa,watumuweza akiwa mzima wa afya? waendelee kukimbizana na kina Mbowe tu.
awamuwezi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...teh hee hee...kwahiyo gwajima 'kashindikana!?'
Gwajima gwajima [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Yule mchungaji domo lake limefyatuka.
Bora awe mwanasiasa asijifiche kwa kofia ya kichungaji.
Ashatukana wengi sana
Kadinari Pengo, Jk na. Wengineo
Mwache aisome namba asijipendekeze kwa Magu
Kwani sio Sheitwani?Alimponda pia na Rais Mstaafu na pia amemponda Amir Jeshi Mkuu kwa kumwita Shetani
Gwajima atarudi siku sio nyingi na awatomkamata.Hizi ni zima moto tuBora akae hukohuko asirudi huku mpaka ukawa tuchukue nchi ndiyo atarudi
Vyote hivyo ni kweli... Ccm ni Zaid ya dudu bayaKuita CCM dudu baya ai uchochezi? Kumtaka Rais ahame CCM na kuanzisha chama kingine si Uchochezi? Kuwataka waamini wake waichukie CCM na kuwalaumu wale wanaoipenda si Uchochezi? Kutumia nyumba ya Mungu kufanya mahubiri ya kisiasa si uchochezi? Kweli CHADEMA wote akili zenu zinashikiwa na Mbowe
Asweke ndani tu, angekuwa Mwl. Nyerere wala asingemkawiza mpuuzi huyu
uchochezi gani aliouleta,mambo ya ndani ya ccm hayawahusu wananchi tuhuma alizotoa ni la kundi moja ndani ya ccm la kutaka kun'gang'ania madaraka ,jiongezee![]()
Maoni yangu
Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.
Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
Ulitaka aende ughaibuni na yutong
Ni ujinga uliopitiliza CCM kutegemea polisi kuwadhibiti wanaoisema vibaya.Kuita CCM dudu baya ai uchochezi? Kumtaka Rais ahame CCM na kuanzisha chama kingine si Uchochezi? Kuwataka waamini wake waichukie CCM na kuwalaumu wale wanaoipenda si Uchochezi? Kutumia nyumba ya Mungu kufanya mahubiri ya kisiasa si uchochezi? Kweli CHADEMA wote akili zenu zinashikiwa na Mbowe
Hivi wale polisi walitumwa na CCM au serikali? Maana aliiponda CCM & sio serikali.
CCM acheni upuuzi.
Naunga mkono hoja kipengele cha KINGA YA KUTOSHTAKIWA kwa marais wastaafu kitenguliwe. Hiki kipengele kinawapa KIBURI sana hawa jamaa..! Wanavuruga watakavyo.
Sheria ipi? Atarudi, polisi wanaweza kumkamata lakini lazima mahakama atamwacha huru. Ni wajinga pekee ambao wanadhani kukosoa na uchochezi ni sawa.Kauli alizotoa kisheria ni za uchochezi. Nitashangaa kama hatakamatwa na kupelekwa mahakamani. Ifike kipindi wachungaji wa namna hii wajue kuwa nchi haiendeshwi kwa hisia za mchungaji fulani. Bali inaendeshwa na katiba na sheria mbalimbali za nchi "RULE OF LAW". Gharama ya kuirudisha AMANI ni kubwa sana, kuliko ya kuipoteza.
Yaani natamani nihack JF nikupige ban mkuu!!...... Mtu kutoa maoni yake juu ya nchi yake wewe unaita ni uchochezi??? Ina maana hatuna uhuru wa kuzungumzia maovu na uozo unaoendelea hapa nchini??? Ina maana hii nchi hakuna uhuru wa kujieleza??? Unaifahamu katiba yetu inasema nini juu ya uhuru wa kujieleza mkuu??
Mtachukua mke bila kuwa na mshenga? Inawezekana?Bora akae hukohuko asirudi huku mpaka ukawa tuchukue nchi ndiyo atarudi