Gwajima atimka nchini. Adaiwa kuelekea Dubai

Gwajima atimka nchini. Adaiwa kuelekea Dubai

Hizi habari za kutimka ni uongo coz jana mida ya jioni Gwajima alikuwa akihubiri pale kanisani kwake mitaa ya ubungo maji
 
Kuita CCM dudu baya ai uchochezi? Kumtaka Rais ahame CCM na kuanzisha chama kingine si Uchochezi? Kuwataka waamini wake waichukie CCM na kuwalaumu wale wanaoipenda si Uchochezi? Kutumia nyumba ya Mungu kufanya mahubiri ya kisiasa si uchochezi? Kweli CHADEMA wote akili zenu zinashikiwa na Mbowe

Ccm ikiguswa ni uchechez hahahaha. Na sisi tusiokuwa na mavyama yenu je?? Sisi hatujui ccm wala mama yake na ccm ila tunaijua tanzania yetu. Ccm ikafie mbali kuleeee.. Tanzania yetu idumu daimaaa
 
Gwajima ametumwa siyo kiazi kuongea vile kwa kujiamini shokolomageni
 
Kama kiongozi wa dini mwenye kujinasibu kuwa na nguvu za kimungu uchaji na upako hakupaswa kukimbia, kwa kufanya hivi anahubiri asichokiamini na kuamini asichokihubiri
 
Sijui kama mi ndio sielewi; kwanza kupitia maandishi ya Nipashe sioni kama Gwajima katoroka, sababu yeye kaondoka siku 1 kabla ya police kwenda nyumbani kwake, lakini pia kama mapendekezo yake yale kwa JK ni uchochezi mbona Jenerali Ulimwengu nae ni kama alipendekeza kitu kinacho fanana na hicho cha Gwajima, tena yeye kafanyia mahali ambapo kulikua na vyombo vingi (kama sio vyote) vya habari na akaenda mbali zaidi kwamba JK ashitakiwe? Huyu nae sio mchochezi kweli? Anyway, sijui bana
 
Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?

Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Kamanda kuna majitu akili zao zinarudi kinyumenyume so usishangae! Maana Bongo zao zimesilibwa ujinga hawana uwezo tena wakufikiri vzr
 
w
Kuna wakati police wana kuwa very bias,na wanajiaibisha.
Juzi tu hapa,wamepiga marufuku maandamano na mikutano ya hadhara,siku iliyofuata CCM Mwanza wakaandamana,polisi wetu hawakuwagusa hata kidogo,na alipoulizwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza,(Msangi) akasema hajui kama CCM waliandamana.
Kama jeshi LA polisi wana uwezo wa kubashiri kitakacho zungumzwa kwenye mikutano ya vyama mbadala,na kufikia hatua ya kuzima mikutano yao kwa mabomu ya machozi na maji ya kuwasha,iweje wanashindwa kuona maandamano ya CCM kuanzia maandalizi yake mpaka kukamilika kwake!?
Je,huku sio Kujenga chuki miongoni mwa wana nchi!??
Ni AIBU KWA JESHI LA POLISI,KUNA WAKATI WANGEVAA TU SARE ZA CCM IELEWEKE WAZI!!!
UKWELI TUPU MKUU! WAMEANZA KUWA KAMA GREEN GUARD KUTETEA CHAMA
 
Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?

Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Ni kweli kaka si uchochozi ila, kwa upande wangu huyo Mchungaji ni vema angeendelea kutoa huduma za kiroho kwa waumini wake. Aache mambo ya siasa maana hata mimi namuona kama anajichanganya sana.
 
13450186_1123613427703114_7817727605358752487_n.jpg

Maoni yangu

Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.

Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
Wewe haya maoni yako ndiyo ya kichochezi maana unamtuhumu kiongozi wa kiroho wa mamilioni ya watanzania kuwa ni mchochezi
 
Mleta mada kama hujui maana ya uchochezi nenda kajifunze tena ndiyo uje hapa jamvini
 
Kama kiongozi wa dini mwenye kujinasibu kuwa na nguvu za kimungu uchaji na upako hakupaswa kukimbia, kwa kufanya hivi anahubiri asichokiamini na kuamini asichokihubiri
Kaka don't fall into their trap aiseee.

Hajakimbia. Kumbuka we're full of drama.
Watch this space.
 
13450186_1123613427703114_7817727605358752487_n.jpg

Maoni yangu

Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.

Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
Kama ligumu alitimka nje, na gwajima naye atimkie wapi?
 
Yule mchungaji domo lake limefyatuka.
Bora awe mwanasiasa asijifiche kwa kofia ya kichungaji.
Ashatukana wengi sana
Kadinari Pengo, Jk na. Wengineo

Mwache aisome namba asijipendekeze kwa Magu
Ukisikia kuchochea vurugu ndiyo unako fanya wewe, haiwezekai uanze kumtuhumu kiongozi wa kiroho kwa maneno ya kiitikadi tu, ujue naye ana wafuasi wengi tu
 
Back
Top Bottom