Nchi hii inaongozwa na malaika na anazungukwa na malaika wenzie...Mkuu naunga mkono Watanzania tuwe makini na wachochezi, japo sio lazima wote wawe kweli ni wachochezi, bali demokasia ya ukondoo ikishamiri, mtu akitumia freedom yake of expression kutoa maoni mbadala, huonekana ni mchochezi!.
Ila pia makini na mdeia zetu ambazo nyingi ni mediocre tuu, mtu anatumia freedom yake of movement kwenda popote, anarripotiwa kuwa ametoroka, kiukweli Gwajima atakuwa yupo kwenye safari zake za kawaida na akimaliza atarejea na wala hajatoroka, kwa sababu Li Gwajima ni jitu linalotoka ile Kanda ya ile mijubu bold kweli kweli, kamwe hawezi kumuogopa yoyote zaidi ya Mungu!.
Pasco
Nchi hii ina mengi ya kustaajabisha.kinachonishangaza ni kuwa imekuwaje polisi wazingire nyumba yake kumbe mtu anayetafutwa ameondoka nchini? usalama upo je hapo? kwa nn hawajabaini alisafiri?
Intelijensia ya polisi ilikuwa wapi hata akaenda JNIA na kukwea pia na kisha kuondoka kama ni kweli? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]![]()
Maoni yangu
Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.
Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
Kwa kuwa Kiswahili kinakua na wakati uo huo kudumaa, inaonekana neno UCHOCHEZI limepoteza maana yake.Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?
Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Hakuna uchochezi wowote alioufanya Gwajima. Mashitaka ya kijinga kama haya (uchochezi, mikutano isiyo halali) siku moja yatapita tu.![]()
Maoni yangu
Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.
Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
Hakuna uchochezi wowote alioufanya Gwajima. Mashitaka ya kijinga kama haya (uchochezi, mikutano isiyo halali) siku moja yatapita tu.![]()
Maoni yangu
Watanzania tuwe makini na wachochezi wanaotumia vibaya uhuru wa maoni kama Askofu Gwajima, kwani hawana nia njema na watanzania masikini.
Ikiwa kina gwajima wanauwezo wa kupanda ndege na ndivyo itakavyokuwa pale uchochezi wao utakapoleta machafuko watakimbia nchi na watanzania masikini wasiokuwa na uwezo wa kuapanda ndege wataishia kuteseka wakati wao wakila bata uhaibuni.
Alimponda pia na Rais Mstaafu na pia amemponda Amir Jeshi Mkuu kwa kumwita Shetani
Alifikiri hii serikali ni ya JK? Jamaa walichezea sana sharubu za JK
Kwahiyo unataka kutuambia kati ya yale yote aliyoyasema wewe ulisikia hayo tu, uliyo andika HAPO JUU?????acheni ushabiki wa kiasi hiki kisa tu aliyo yasema yanahusu CCM.....Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?
Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Jf chuo cha elimu.Ni sioni kama aliongea uongo kuhusu YULE. USHAURI WA KUSEMA YULE aondolewe kinga mbona ni mzuri tu? Ni wakati wa watu kuwajibika na kama kuna wezi washtakiwe. Siku zote tunasema mahakaman ndo pa kujia mbivu na mbichi kwa nini kusema yule apelekwe mahakaman inakuwa issue?na hapa sioni sabab ya kuingiza iman.ikiondolea kinga ya rais hata mkapa ashtakiwe tu. Hatuangalii majina.
Mdomo uliponza kichwaCCM mtu akieleza maoni yake mnakimbilia kusema uchochezi. Acheni hizo ninyi ni nani mpaka mzuie watu wasiongee?
Hivi yeye kumtaka Magufuli abadili katiba Marais wastaafu washitakiwe ndio Uchochezi?
Kuitaka CCM ivunjwe ndio Uchochezi?
Wewe unayepost utumbo kisa kupigania nafasi za kikwete 46 unajipa matumaini bure maana magufuli hana mpango nanyi makuwadi wa siasa uchwaraWe usidhani bado kuna vyeo huko chadema, badilika uwe na busara sasa. Acha kuandika kishabiki kumfurahisha bosi wako.
Nshaijua akili yako ikoje wala sisumbuki na wewe tena. Watu wa Bukoba wanahusiana vipi na hii mada kama si usaha kichwani mwakoKwa hiyo Mwl Nyerere ndo alivyokua anafanya mwache mzee apumzike kwa amani usitake kumuongezea dhambi watu wa Bukoba mkoje
Nshaijua akili yako ikoje wala sisumbuki na wewe tena. Watu wa Bukoba wanahusiana vipi na hii mada kama si usaha kichwani mwako
Ningekuwa nimekuumba mie ndo ningefikiria juu ya haya mashtaka yako lakini kwa vile sikuhusika wewe kuletwa duniani inabaki ni kihoja tuWacha uwenda wazimu wako wewe wa kutaka kuwafumba watu midomo wakati wewe unaendelea kuuchongoa