Guys, is this real?

Carnivora

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,650
Reaction score
6,028
I don't wanna put more words. Just take a look at the picture and give your comments as far as Tanzanian context is concerned. Naonaga picture ukioa Haika wa Marangu...na ukioa Mwantumu wa Tanga jiandae kupata ladha tofauti jikoni.

Disclaimer: Sipondei wachaga wala wakaazi wa mkoa wa K'njaro wala sina upendeleo na Tanga. Ni mifano hai tu ili tuelewane.

Samahani atakayekwazika.
 
arab culture vs chaga culture
 
Mkuu, Mfuko wako ndo utakupa unachokitaka. Hata nyama ya mtu utaipikiwa, ya ng'ombe utasagiwa na ya mbwa utarostiwa. Mfuko wako ndo ruksa yako si kabila. Hivyo vyakula vyote hununuliwa sokoni
 
Mkuu unaruhusiwa kumfundisha mke wako namna nzuri ya kuandaa chakula unachokipenda...
Ishu inakuja labda kama ni mbishi hataki kujifunza..
Kashindwa kujifunza kwa mama yake miaka nenda rudi kipindi ambacho hakuwa na mambo mengi. Uje umfunze wakati huu anataka fb, whatsapp, jf, insta, twitter, kazi, watoto, mume (ambaye ndio wewe)?
 
Kashindwa kujifunza kwa mama yake miaka nenda rudi kipindi ambacho hakuwa na mambo mengi. Uje umfunze wakati huu anataka fb, whatsapp, jf, insta, twitter, kazi, watoto, mume (ambaye ndio wewe)?
Watu wanatofautiana malezi, wewe utaona hajui kupika yeye anajiona yuko vizuri kwa hiyo ni suala la kuelekezana mkuu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…