Gundu la kinyesi

Pole ndugu. Dunia ina mengi sana hasa upande unaohusu mafanikio ya mtu.
 
Pole ndugu. Dunia ina mengi sana hasa upande unaohusu mafanikio ya mtu.
Si jambo la afya sana kujitangazia mafanikio...nguvu hasi ziko kila upande
 
Imetokea umeona kinyesi chenye usiano na mambo ha kishilikina mfano iwe nyumbani kwako au ofisin unatakiwa ufanyaje?
 
Imetokea umeona kinyesi chenye usiano na mambo ha kishilikina mfano iwe nyumbani kwako au ofisin unatakiwa ufanyaje?
Tumia option hizi tatu
Kimwagie jivu au
Kimwagie chumvi ama
Kimwagie mkojo
Na kama hakiko sehemu hatarishi kipige moto
 
Tumia option hizi tatu
Kimwagie jivu au
Kimwagie chumvi ama
Kimwagie mkojo
Na kama hakiko sehemu hatarishi kipige moto
Mkuu umenikumbusha miaka ya zamani Kule mwanza milima ya mawe,watu walijenga nyumba zao juu mlimani lakini kutokana na mazingira ya mawe huwezi chimba choo hata mita moja kwenda chini.

So wakawa wanatumia zile flying toilet,yani mtu anajisaidia kwenye mfuko Wa Rambo akimaliza anaufunga vizuri,kisha anaanza kuuzungusha mithili ya kombeo LA Daudi wakati anamuua Goliath, akiliachia linaenda kutua kwenye bati ya nyumba iliyoko buzuruga stand.

Tuliokuwa nyumba za chini kabisa tulicheza na vinyesi sana,aisee Leo umenifungua maskio kumbe ndo mana mpaka Leo msoto auishi dah.
 
pole sana...kinyesi ni uchafu mbaya sana ndio maana hata uhifadhi wake ni wa gharama...ni mpaka kioze ndio huwa na faida ya samadi kukuzia mimea..kwa baadhi ya imani wanamchukulia nguruwe kama najisi kwakuwa huyu hata kinyesi anakula na kumbuka ndo mnyama pekee aliyeongiliwa na mapepo
 
Hawa jamaa wanaotengeneza mitungi ya ardhini ya bio gas wanaweza kutengeneza gas kwa kutumia kinyesi cha binadam pia,Ila hapa kwangu ntandelea kutumia manjis,mihan,au oryx.
 
Ule mradi wa Bill Gates wa kurecycle maji ya chooni kuwa ya kunywa uliishia wapi?
 

Kimba kama kimba.
 

Miaka 5 nyuma nilinunuwa eneo la heka moja huko Kibaha.

Wakati nanunuwa wana kijiji wa pale walizoea kukatisha kati kati ya Shamba langu ikawa ndy njia na magari hupita humo.

Niliponunuwa lile Shamba,,nikaua ile njia nikatoboa njia ingine pembeni ya Shamba lile..

Kuruhusu magari na watu wapite pembeni ya Shamba langu.

Kumbe kuna vingunge wa eneo lile wakiongozwa na kibibi fulani,,

Walikuwa hawafurahishwi kwa kufungwa njie ya zamani,,,
Na mimi kuanzisha njia ingine pembeni ya Shamba langu..

Cha kushangaza ni kwamba ,,
hata ile barabara mpya ninayoichonga,
bado ni sehemu ya eneo langu ,,

Ni kama miguu 3 hivi nimepunguza eneo langu mm,ili watu wapite huko pembeni.

Nikaigharamia kwa kulima na kuisawazisha barabara ile,,
Ili magari yapite upande wa pembeni wa Shamba langu..

Niliagana na wale vibarua waendelee kutengeneza njia,,
Ili kesho yake nije nirekebishe mipaka ya nguzo za mpakani vizuri.

Kesho yake wale vibarua hawakutokea,,,nilishangaa sn maana hata advance walipokea kiasi.

ikabidi nitafute vijana wengine kumalizia kazi.

Nilifika eneo la Shamba,,nikakaguwa eneo lote,

Nilirudi kwenye eneo la barabara mpya niangalie pamefikia wapi.

Mkuu nilikutana na kinyesi kikubwa sana.

Kwa kweli nilishtuka sn,,

kilichonishtua zaidi ni kuona shimo kumbwa mbele kidogo ya kile kinyesi.

Ikanipelekea kugunduwa aliyefanya vile ni mwanamke..

Maana yake alijisaidia ,,,halafu akakojowa pale chini na kuacha shimo kubwa hata nikahisi kumtamani kingono.
Inaonyesha huyu Mchawi aliyejisaidia hapa alikuwa bado binti mbichi sana,,

Sio kwa ukubwa wa shimo lile..

Nikajiuliza maswali bila majibu,,,

Sasa why mwanamke aje kunya hapa ?

Tena njiani?

Ktk hali ya kawaida nikaanza kuhisi ushirikina,,,

Lakini nilipuuza nikaendelea na shughuli zangu..


Week moja baadae nikaanza safari ya kwenda south Africa,

Kipindi hicho nafanya safari za south Africa to Tanzania.,,
Nakuja na TV,laptops,phones,, vitu vya electronics mbali mbali.

Mkuu nakuhakikishia nilikwenda kupata hasara ya mzigo kama wa milioni 10 hivi.,

Siwezi sahau mikosi niliyoipata wakati huo..

Nilikuwa natumia mwezi Mmoja safari ya kwenda south na kurudi Tanzania,,

Lakini baada ya mikosi ya kile kinyesi nilitumia miezi 3 south Africa.,

Tena kwa kurudi kwa hasara kubwa.

Nikarudi bongo nikahangaika nikaenda tena shambani mwaka baada ya kile kinyesi,,

Still walitokea kundi la nyuki sijuwi wametokea wapi.

Nikikimbia nikaacha hata mimea niliyokuwa nimenunuwa kwenda kupandikiza shambani..


Baada ya week nafasiri nakwenda Italy,,

Yaliyotokea huko ni siri yangu...

Naungana na wewe Mkuu kinyesi ni nuksi tupu...
 
Dah pole sana shamba kama bado lipo niambie tulifanyie maarifa ...BTW hii imenichekesha sana
Ikanipelekea kugunduwa aliyefanya vile ni mwanamke..

Maana yake alijisaidia ,,,halafu akakojowa pale chini na kuacha shimo kubwa hata nikahisi kumtamani kingono.
Inaonyesha huyu Mchawi aliyejisaidia hapa alikuwa bado binti mbichi sana,,

Sio kwa ukubwa wa shimo lile..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…