Gundu la kinyesi

That's it
 
Hahahahaaa! Kasie, mwana Kipalapala!
 
..kwakuwa baada ya hapo kila kitu kitaanza kuyumba, vile watu wanavyokiogopa kinyesi na kujitenga nacho ndio hivyo hivyo nawe utakuwa

Jr
 
Habari bila picha ni sawa na mboga bila viungo vyote lakini mmh kwa habari hii picha zake zinaweza kuchafua hali ya hewa basi walau ngoja niweke hiiView attachment 359183
Hv brother@mshana jr huyu mdudu huwa anaanzaje kutengeneza hilo gurudumu? Na je huwa ni chakula ama ni mchezo anafanya maana pamoja na kuwa ameliviringisha namna hiyo, ikifika muda wa kulisafirisha anarudi kinyumenyume. Huwa nawaza sipati jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

me mwenyewe naamini hivyo mkuu, ukiona mtu anafanya hivyo yaani kinyume na maumbile ujue yupo kimaagano ya kishatani
 

kuna kipindi niliwahi kukuta kinyesi kwenye makochi ya kukalia na kinyesi chenyewe ni chapaka

nikamwambia ndg yangu paka wa kawaida akinya anafukia iweje huyu kanya kwenye makochi
au ndiyo mapaka ya mjini

cku nyingine nikakuta panya kanya juu ya kitanda na inaonekana Yule panya alikua cjui panya buku
yaani nyumba za kupanga full majanga
 
Huanza kwa kuingia kwenye kinyesi husika na kuanza kuviringa kidogo kidogo mpaka linakuwa kabisa kishapo huanza safari ya kulisafirisha mpaka huko 'nyumbani kwake' KWAHIYO kuliviringa ni namna ya kutengeneza wepesi wa kulisafirisha
Jr
 
Michezo ya wanga hiyo na hivyo vinyesi ni vya BINADAMU
Jr
 
Mshana jr naomba njia ya kumkomesha au kum deadisha kabisa mtu ambaye anafanya kitendo hicho maana leo nimekuta mlangoni kabisa af cjakitoa hadi saiz toka asubuhi na sio mara moja hii mara ya tatu
 
Mmh.... Kimwagie ndimu na chumvi
Mshana jr naomba njia ya kumkomesha au kum deadisha kabisa mtu ambaye anafanya kitendo hicho maana leo nimekuta mlangoni kabisa af cjakitoa hadi saiz toka asubuhi na sio mara moja hii mara ya tatu

Jr
 
Michezo ya wanga hiyo na hivyo vinyesi ni vya BINADAMU

Jr
Ckupingi Dactari Mshana, Yaani wanga wanavituko wewe na kama huna kinga wanakuonea balaa, hapo nilipokuwa nimepanga tulipanga mmama wa kigoma na alikuwa wanae wa3
Yaani ilifika kipindi anawanga mchana kweupe na walikua wanajigeuza paka mara panya kisha wanaingia kwenye vyumba vya watu, huko kufarakanisha ndiyo usiseme yaani mnakaa cku 2 yatatu unakuta hamuelewani na ukiangalia kosa hata halieleweki

Yaani nyumba za kupanga full majanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!
Jr
 
Vip kwa nyoka
 
Da...ila kwa sasa unavoshabikia hilo tundu na kuhimiza wanaume walitumie ili wanawake wao wapate shepu umesahau kuwa ni haramu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…