Hahahaaaaa umewazaaaa mbaliiiiiFuatilia matokeo ya mitihani kitaifa kipindi hicho utagundua kitu
mwasu kuna mtu kanitumia hii picha yenye maelezo kama haya yakoAisee! kuna siku ofisni kwetu alikuja dada mmoja na mkaa wote vijana ofisi ilikuw barabarani wakaja wakaomba kujisaidia, yule dada alisema amebanwa sana tukampa funguo choo kilikuwa nyuma ya ofisi, akenda akafanya yake akarudisha funguo huyo akaondoka, baadae nikawa nataka kwneda kujisaidia ile nafungua choo nakutaka na bonge la kimba moja refu limesimama pembeni ya choo maana choo ni cha kuchuchumaa, ajabu ni kuwa kuna maji na brush ya choo hata kama alikuwa amekosea kulenga ilikuwa vema kama angesafisha, mpaka leo hatukujua lengo la yule dada, sasa naanza kupata sababu, aisee watu wawili wazima wanasindikizana kufanya haya?! Nchi hii ngumu sana.
mwasu kuna mtu kanitumia hii picha yenye maelezo kama haya yakojamaa alifanya yake tena kwenye karatasi nyeupe pembeni ya choo View attachment 359532unaweza kuona uchafu uliofanyika hapo
Aliyenitumia anasema kwenye hiyo rambo kulikuwa na madawa
Nakuambia binadamu tunatisha kuliko gonjwa lolote la kuambukiza.mwasu kuna mtu kanitumia hii picha yenye maelezo kama haya yakojamaa alifanya yake tena kwenye karatasi nyeupe pembeni ya choo View attachment 359532unaweza kuona uchafu uliofanyika hapo
Aliyenitumia anasema kwenye hiyo rambo kulikuwa na madawa
Sory huwa sipendi kukomenti sana,ila nimsomaji mzuri sana.Napokutanaga na avatar yako inaniachaga hoi,kama niwewe hongera.Hiko ni choo cha umma au cha mtu binafsi? Au cha ofisi?
Washirikina wabaya sana, na ushirikina huanzia kwenye chuki. Mie mtu yeyote mwenye chuki bila sababu namuona mshirikina. Maana mtu akianza kumchukia mtu bila sababu au sababu zisizo za msingi kama wivu ndo huanza kufikiria. .... ngoja nimkomeshe. ... matokeo yake ndo hayo.... kukulisha mavi. ... kuwachezea familia yenu magonjwa..... usiku kuwachezesha chagulaga
Ukitaabika yeye nafasi yake kwatuu. ....utasikia. ... ndio ngoja nae akome alikuwa anajiskia sana kila siku anakaangiza tuu mitoto yake ina afyaa eeeh aipate na yeye ashinde hospitali kila mwezi.
Ushirikina mwanzo wake ni chuki..... jiepushe sana kuwa na chuki na watu unawezajikuta wewe ni mshirikina bila kujua.
Kasinde.... unyamwezini ndo kwetu. ...
Sory huwa sipendi kukomenti sana,ila nimsomaji mzuri sana.Napokutanaga na avatar yako inaniachaga hoi,kama niwewe hongera.
Samahanini wanajamvi kutoka nje ya mada.
kasie
Teh teh haya bana kasie.Pole kwa kuwa hoi itabidi usiwe unaitizama ili uache kuwa hoi.
Kasie.
Teh teh haya bana kasie.
huishia chumbani