Gundu la kinyesi

Mkuu unataka kusema wanaojisaidia shambani kwangu ndio wamesababisha nisipate maembe mengi mwaka huu?
 
Mkuu unataka kusema wanaojisaidia shambani kwangu ndio wamesababisha nisipate maembe mengi mwaka huu?
wala pengine wanajisitiri tuu ila kama wanajisitiri sana na ni eneo moja au kwa vipimo maalum take care
Kwa mfano kujisaidia kwenye pembe za shamba tu au katikati tu
 

Mada nzuri tatizo kuhusisha bangi ndio tatizo, hivi bangi inamatatizo gani mpaka inahusishwa na mambo maovu na vitu ambayo ni hulka za mtu binafsi. Tafadhali naomba siku uchambue hii kitu mkubwa wangu
 
Kweli kabisa mkuu mshana jr, kuna mtu aliwahi kukuta furushi kwenye msingi wa nyumba yake. Mpaka leo hawezi kuishi kwenye nyumba yake. Atakwenda kwa muda tu lakini hataki kabisa kusikia kuhusu hiyo nyumba yake.

Kumbe alifanyiziwa, jamani so sad....

Pia kuna kabila flani silitaji akikuta furushi katika nyumba/shamba/mji lalima adeal nalo mpaka alitwliacga aje aombe poo... na akija ujue atakuja akiwa anatembelea mikono maana atateswa mpaka basi....


Sasa nimepata picha.... Asante endelea kutufungua macho.
 
Duuh, mkuu mbona umenshtua! Week ya pili baada ya kupata kausafiri nikaamka asubuhi nikakuta sehemu ya nyuma imetapakaa hayo madude, nilitafakari kisha nikapuuza, nikaosha nikaenda kwenye mishe zangu za maisha! Nikasema namwachia Mungu...sasa nimekuta hii mada duuh..nimepata kitu ambacho sikuwa nakijua11
 
Akipigwa binadamu si atakimbiwa na dunia nzima?
 
Hivi bro jr kuhusu mtu kuchukua nyota yako akajiHamishia yeye kweli hii kitu inaezekana?!mtu achukue yako safi akakuachia yake kimavi(MSINAMBE)
 
Hivi bro jr kuhusu mtu kuchukua nyota yako akajiHamishia yeye kweli hii kitu inaezekana?!mtu achukue yako safi akakuachia yake kimavi(MSINAMBE)
Kuna utaratibu mrefu na mgumu mpaka kufanikisha hilo kwa hiyo nyingi ni story
 
Kunajamaa alikua na duka kubwa sana la bidhaa za nafaka siku moja aliamka mapema kwenda kufungua duka nje alikutana nabonge la kimba alichofanya alizoa na kutupa baada ya muda kama mwezi duka lote lilikwisha bidhaa akafunga,Mshana Jr inawezekana ni gundu la kinyesi?
 
Ukijumlisha 1+1 unapata 2 lakini kwenye ulimwengu wa ushirikina jibu ni 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…