Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,129
- 829,026
Gundu ni kiambishi cha kuelezea mambo kwenda mrama mambo kuharibika, mambo kutanzika! Hali ya kuchukiwa na hata kutengwa.
Kinyesi pamoja na kwamba ni samadi nzuri kikishaoza na uvundo kwisha lakini. ! ni makapi ya chochote ulichokula, yani mwili umeshachukua vyote vya maana kwahiyo hicho kilichobaki ni uchafu
Kinyesi ni kitu kingine kabisa licha ya uvundo wake lakini ukikikanyaga lazima uchechemee kama mtu aliyechomwa na mwiba..yani unapata hisia fulani mbaya kabisa akilini ukiwa umekikanyaga....na ndio maana hakuna nyumba inayokamilika bila kuwa na choo ya kuhifadhia hiyo kitu
Ukisikia mtu ana kimavi, muonee huruma maana ni mwendo wa mikosi mwanzo mwisho
Sasa hebu pata picha hii
Unaamka asubuhi na kukuta barazani kwako au getini kuna bonge la kimba! Unajiuliza na kutafakari mengi lakini unapuuzia na kufanya maarifa ya kusafirisha
Hii inaweza kutokea hata zaidi ya mara tatu na kudhani ni watu wakorofi au pengine wavuta bhangi....pole sana ni heri wawe ni hao kuliko kama ni mambo ya kishirikina..kwakuwa baada ya hapo kila kitu kitaanza kuyumba, vile watu wanavyokiogopa kinyesi na kujitenga nacho ndio hivyo hivyo nawe utakuwa
Ni mambo mabaya ya kishetani huja na madawa na manuizi ya uharibifu mbaya...na akimaliza huseta ukuta kwa makalio yake
Naamini wengi walishakutana na jambo kama hili kwa namna moja au nyingine na baada ya hapo ukaanza kukutana na milima na mabonde, hutakiwi kutafuta waganga wa kienyeji. ....kwa imani yako fanya utaratibu wa ibada ya kutakasa makazi. ..hiyo ndio dawa pekee ya kuweza kukuokoa na hili janga
NB: ushauri wa bure
Kama wewe si mpenzi wa hizi mada nakushauri upite kimya