Guest zote zingekuwa hivi.........

Mbona hata zile za kanisa kule uhuru hostel moshi, msimbazi centre, mbagala spiritual na hata TEC Kurasini watu wanamegana kama kawa! Mtu unajiandikisha peke yako, halafu mkitoka dinner mnaingia wawili kunako room, hakuna anayeuliza wala nini. Hiyo geresha tu.

Baelezee bandugu baelewe! Tatizo hapa Tanzania sheria zote huwa zinaleta mianya mipya ya rushwa!
 
Wanavitambuaje vyeti vya ndoa?? Wanajuaje mimi ndie fulani ambaye jina lipo kwenye cheti?

Wanaruhusiwa wanawake wa wanawake??

Kwani kila mmoja akilipia chake lakini mkazukiana usiku wanakubana vipi?

Si kwamba mapenzi yote yanafanyika gesti...
 
Napendekeza vyeti viwekwe picha.....naona mnazidi kufikiria mbinu mpya kila siku.

Dah kwa bongo hii ufujaji itakithiri wale jamaa zangu wa Gerezani pale watakuwa wanapiga bao sana.
 
Ingepunguza kwa vijana wa umri mdogo chini ya 16 yrs.. Maana ungeulizwa kwa umri huu wewe umeoa au kuolewa?
 
Mnachukua kila mtu chumba chake halafu usiku mtambelea wala haina shida. Watu tumewahi kulala kwenye hosteli za masista wa Katoliki, mlinzi akala rushwa na gemu ikapigwa usiku kucha kama kawaida tu! Cheti cha ndoa my ass!!


sweetheart........
 
Mnachukua kila mtu chumba chake halafu usiku mtambelea wala haina shida. Watu tumewahi kulala kwenye hosteli za masista wa Katoliki, mlinzi akala rushwa na gemu ikapigwa usiku kucha kama kawaida tu! Cheti cha ndoa my ass!!
Duh! watu mna mbinu duh!!!
 
Wanavitambuaje vyeti vya ndoa?? Wanajuaje mimi ndie fulani ambaye jina lipo kwenye cheti?

Wanaruhusiwa wanawake wa wanawake??

Kwani kila mmoja akilipia chake lakini mkazukiana usiku wanakubana vipi?

Si kwamba mapenzi yote yanafanyika gesti...

hata wakisema uwe na fina print hili control ilishapitwa na wakati kwasababu haitekelezeki, unless tulete electronic monitoring chips!!

vyeti vya ndoa havina picha
 
02.jpg
Labda itasaidia tuu kupunguza sio kuzuia, watu sasa watalazimika kulaminate vyeti vyao vya ndoa na kutembea navyo kwa vile wahusika wakuu wa matumizi ya gesti ni wenye ndoa zao, na vyeti havina picha za watu, hivyo mimi leo nitaingia na Mwajuma kwamba ndiye mke wangu, kesho na Mwanaidi na keshokutwa na Mwazani, nitaendelea hivyo hivyo na Mwantumu..Mwantanga..Mwanahamisi, Mwasiti etc etc.
 
Mnachukua kila mtu chumba chake halafu usiku mtambelea wala haina shida. Watu tumewahi kulala kwenye hosteli za masista wa Katoliki, mlinzi akala rushwa na gemu ikapigwa usiku kucha kama kawaida tu! Cheti cha ndoa my ass!!

Toba illahi........mmmmmmmmm tutafika??? kwa hali hii sodom na gomora mchezo!
 
Hayo matangazo toka tukiwa vijana tunayaona na tunaingia na hakuna anayeuliza. Kwani matangazo ya sigara mnayajua yalivyoandikwa? leo tangazo linasema utumiaji sigara ni hatari kwa afya yako lakini serikali inasisitiza kilimo cha tumbaku. Ukitaka kujaribu kaingie guest hiyo na mke wako lakini msioneshe cheti cha ndoa mtaona kama mtazuiliwa. Ni sawa na mtu kuuza bia na kusema haturuhusu walevi.
 
Dah mkuu hang over hata Bajaj nazo zingekuwa na tinted.
Nakupata mzee wa tinted for privacy

Sipati picha mkuu upo kwenye kibajaj kinatikisika pale njia panda ya kuelekea Coca Cola kwanza! teh teh teh teh ..............parking masaa 3
 
Hilo ni tangazo la guest za dini, lakini kwa wafanyabiashara za guest sehemu kama Sinza,Kinondoni weka tangazo kama hilo for sure wageni hawatapatikana
 
Not kwa Tanzania hii inayoghushi hadi muhuri wa IKULU!! Vingeghushiwa tu !! tena nafikiri ndio ingekuwa biashara inayolipa kuliko zote

Mkuu umenifurahisha mno!!!?? Hata sasa hivi mbona vipo vyeti vingi vya ndoa vingi vya kugushi na vimo katika maofisi mengi sana hasa ya serikali? Hakuna linaloshindikana duniani? Hasa pale ambapo mtu anataka kubomu mambo fulani hivi? Si unajua hata birth and death certificates zimezagaa mitaani, achilia mbali divorce certificates ambazo viongozi wa dini wanadanganywa wanafunga ndoa huku akijua kuwa talaka tayari? Lo, wacha kabisa. Hivi briefcase unaona watu wanashuka nazo ndani ya taxi huku wamenyonga tie nyingi ni balaa, siku hizi wanabeba documents wallets maana briefcase zilishashtukiwa. Mle ndani kuna kila kitu unachotaka mjini!!!

 
Hata angewekwa Padri/Shekhe aliyefungisha ndoa awe mlangoni ku hakiki wabongo watamegana tuu. kwani wakati wa mwalimu hizo Gesti zilikwepo? mbona watu walikuwa wanamegana hata vichakani, kwenye mashule mida ya usiku. Kuna Bro wangu alimmega demu aliyemsotea kwa miaka miwili nje ya kanisa la anglikana hahahahhhhahahahahahahaah jamani ni kumwomba mungu tu atuepushe na hili GONJWA
 
unafikiri UKIMWI unapatikana guest tu!hata vichakani unapatikana,ha ha ha..Ni vijiji vingapi vyenye guest na Tz?
 
Nani alikudanganya guest house ndiyo sehemu pekee watu wanamegana?
Mpwa una hangover au?

Watu wanamegana kwenye vichaka, kwenye magari, ******, nk.

Mimi nshawahi kuwakurupusha wawili wakimegana nyuma ya nyumba yetu...kulikuwa na kichaka cha michongoma ile ya ulimbo...hehehee basi bana acha watoke baruti..utadhani walikuwa na motor miguuni....niliachiwa mavumbi tu nyuma...nikaanguka kwa kicheko!
 
Dah kwa bongo hii ufujaji itakithiri wale jamaa zangu wa Gerezani pale watakuwa wanapiga bao sana.
watu watatengeneza vyeti vingi na muhuri, na wanakuwa wanatembea na kamera na printa,

ukikutana na kiumbe, unatwanga picha, print, weka kwenye cheti, piga muhuri....then mnaenda kudo the needful kama wanandoa walioko honey moon.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom