Guest zote zingekuwa hivi.........

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
02.jpg
 
Kwa mtindo huu Tanzania bila ukimwi ingewezekana.
 
Not kwa Tanzania hii inayoghushi hadi muhuri wa IKULU!! Vingeghushiwa tu !! tena nafikiri ndio ingekuwa biashara inayolipa kuliko zote

Ungebuniwa utaratibu mwingine lazima muwe na album ya picha za harusi yenu.
 
Nani alikudanganya guest house ndiyo sehemu pekee watu wanamegana?
Mpwa una hangover au?

Dah mkuu hang over hata Bajaj nazo zingekuwa na tinted.
Nakupata mzee wa tinted for privacy
 
Kwani wanavilinda vyumba? Si mnachukua vyumba viwili, halafu mmoja anahamia kwa mwenzake kinyemela?
 
Dah mkuu hang over hata Bajaj nazo zingekuwa na tinted.
Nakupata mzee wa tinted for privacy
Si umeonae?
watu wanamegana mpaka kum-gari!

Halafu maskini zao, hivi ni nani atavihakiki hivyo vyeti vya ndoa? Havina picha ya wanandoa. Ni rahisi sana mzee mzima Fidel ukatoa fotokopi cheti cha ndoa cha Geoff ikawa ndiyo kibali chako cha kuwamega wake za watu kwenye guest hiyo hiyo yenye hilo tangazo.................
 
Halafu maskini zao, hivi ni nani atavihakiki hivyo vyeti vya ndoa? Havina picha ya wanandoa. Ni rahisi sana mzee mzima Fidel ukatoa fotokopi cheti cha ndoa cha Geoff ikawa ndiyo kibali chako cha kuwamega wake za watu kwenye guest hiyo hiyo yenye hilo tangazo.................

Hahahaha nina safari ya Zenji kule bila hilo gamba hulali na kidoshi itabidi jamaa aniazime nitoe fotocopi.
 
tena gesti za aina hii zina soko sana, watu walio kwenye ndoa wanapenda kuona wazee au wake zao waliosafarini kikazi wanakuwa wamelala sehemu ambayo haitawaumiza kichwa....watu wengi wanaopenda kueleweka vizuri, wanatafuta guest kama hizo...

ati mimi na heshima zangu nikaingie kagesti fulani uchochoroni ambako watu wanatoa miguno ya ajabu muda wote...hahaha, iyo ilinitokea kipindi nasoma mkoani high school/form five, nilipojikuta nimelala guest iliyokuwa pembeni mwa baa, nilijuta mbona.
 
Hapa sasa ingekuwa hamna fulsa ya mtu kumiliki Guest zaidi ya moja,kwasababu kila mmiliki atatakiwa kuwepo reception,vinginevyo wahudumu watapokea tuu hata wasio na ndoa,si unajua wanataka kupiga cha juu!!
 
Kwani wanavilinda vyumba? Si mnachukua vyumba viwili, halafu mmoja anahamia kwa mwenzake kinyemela?

very good thinking!Labda guest zisiruhusu jinsia tofauti!Km ni wanaume ni wanaume tu,km ya wanawake ni wanawake tu...
 
Mbona hata zile za kanisa kule uhuru hostel moshi, msimbazi centre, mbagala spiritual na hata TEC Kurasini watu wanamegana kama kawa! Mtu unajiandikisha peke yako, halafu mkitoka dinner mnaingia wawili kunako room, hakuna anayeuliza wala nini. Hiyo geresha tu.
 
Mnachukua kila mtu chumba chake halafu usiku mtambelea wala haina shida. Watu tumewahi kulala kwenye hosteli za masista wa Katoliki, mlinzi akala rushwa na gemu ikapigwa usiku kucha kama kawaida tu! Cheti cha ndoa my ass!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom