princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,655
- 19,271
- Thread starter
- #101
Asante sanaPole kuna wengine wanatoa stress zao humu,nikuwapuuza.Karibu Mwanza.
Asante sanaPole kuna wengine wanatoa stress zao humu,nikuwapuuza.Karibu Mwanza.
Niko kwenye Kidia one right now, safari ya DarOk nishapajua. Kama hutojali ni pm phone nmb yako japo nifike kukujulia hali
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
Safari njemaNiko kwenye Kidia one right now, safari ya Dar
Asanteee
Asanteee
kwa hiyo Leo umepanda luxury bus eti??umeogopa zile za DSM to kamgegiHahaha hizo ndo Luxury, si Falcom/Jm![]()
![]()
![]()
![]()
kwa hiyo Leo umepanda luxury bus eti??umeogopa zile za DSM to kamgegi
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Ndo Uje Dar Nipige Chabo Na Mm. Mtu Mzima Ww Ebu Elewa Bwana.Dar si ndo home

Pole yako nunua power bankHahaha hizo ndo Luxury, si Falcom/Jm
hii kidia niliopanda imenichefua hakuna system ya chaji
Naijua, iko Magombeni Kirumba karibu na uwanja wa Magomeni - MwaloniUnaijua Magomeni Guest House?
20/15 ni gharamaWanawake Bhana Usikute Unataka Guest Ya 6000 Ila Umejikaza Tu Kuropoka Ya Gharama Ili Uonekane Matawi Ya Juu
Kuuliza siyo ujinga kajishushia hadhi gani tatizo akiri zako zinawaza uzinzi ndo mahana unasema amejishushia hadhi acha ushamba kama uwezi kumsaidia lalaWewe Ndiye Unajishushia Hadhi Kuuliza Guest Ya Kulala Humu Wakati Sehemu Uliyoko Kuna Watu Wengi Wakuwauliza Kama Ni Mgeni
Ujielewi weweSiyo Kosa Lako Bali Maisha Yako Ndo Yanafanya Uwe Jinsi Ulivyo
Achana naye mshamba huyoKwani maana ya Jf ni nini?
Wenye kuzijua wamejibu, ulitaka nifike pale na mamizigo nianze kutanga tanga kutafuta lodge?
Kwaleo tuishie hapa
Hata ondoka salama kweli offers kama hizo azijawahi kumwacha mtu salamaUnaonaje mm niwe mwenyeji utakula, utalala na kunywa bure, bado na pocket nitakutoa juu! Ndo raha ya kuwa na marafki!
Njoo mecco! Buzuruga!
kwakweliHata ondoka salama kweli offers kama hizo azijawahi kumwacha mtu salama



nishaondoka ndugu, AsanteNenda passion hotel hapo room 15
yanii ,na guest /lodge ni kwa ajili ya wasafiri ndio maana wanaita guest house.Kuuliza siyo ujinga kajishushia hadhi gani tatizo akiri zako zinawaza uzinzi ndo mahana unasema amejishushia hadhi acha ushamba kama uwezi kumsaidia lala
Wewe kiboko! Nimekuvulia kofiaNaijua, iko Magombeni Kirumba karibu na uwanja wa Magomeni - Mwaloni