Guest/Lodge Mwanza

Guest/Lodge Mwanza

Kwani tukiheshimiana kuna ubaya gani?
karibu saana mwanza wala usihangaike na hivyo vi guest vya hapo stand ni pm utafika lini then mengine niachie mimi, hum jf si ndugu bana kwanini upate shida na sisi tupo my dada?
 
Nishakuja kujificha hapa Roca, nmepapenda sio pabaya kama home

ila kahela kananiuma sijui kwanini
 
Shabaaaash!! Asante mkuu. Nitajipanga nikija Rock City. Japo nile kawikiendi hapo.
Karibu mkuu,bei za mwz hua za kawaida tu lkn cha ajab wanazifaidi ni kamaa nyie watu wa dar/Arusha.

Pale Malaika hotel kuna kipindi room ilikua mpk ya 170,000 inapatikana
 
Asante sana mkuu. Hakika nitakutafuta nikiwa huko unionyeshe kamji go.
 
Karibu mkuu,bei za mwz hua za kawaida tu lkn cha ajab wanazifaidi ni kamaa nyie watu wa dar/Arusha.

Pale Malaika hotel kuna kipindi room ilikua mpk ya 170,000 inapatikana
Wana lodge nzuri bei chee
hapa dar unaambiwa25
 
Back
Top Bottom