Guest/Lodge Mwanza

Guest/Lodge Mwanza

Unalalaje Guest Ya 20k Au 15k. Mwishoni Utaishia Kupigwa Chabo Unavyooga. Hauna Mwenyeji??Pole Lakini Kama Huna Zaidi Ya Hiyo!
Mwanza lodge ya 20000 si ya hadhi ya chini ni zile za kati ... Chumba kizuri ,self contained, Ac na mazaga mengine ....

THAMANI ya pesa inategemea na eneo utakapokwenda kuitumia
 
Habari

Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15
anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza.

Ahsanteni
Nenda Gold Crest Hotel ipo kati kati ya jiji la mwanza,ni nzuri na yenye mandhari ya kuvutia
 
Mwanza lodge ya 20000 si ya hadhi ya chini ni zile za kati ... Chumba kizuri ,self contained, Ac na mazaga mengine ....

THAMANI ya pesa inategemea na eneo utakapokwenda kuitumia
ninkweli unakuta lodge safi kabisa ambazo kwa dsm tunapigwa mpaka 35000
 
Habari

Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15
anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza.

Ahsanteni
Kuna keza motel,inano motel na misana motel....keza na inano motel ni 12000 ni self na ina vitanda viwili usafi wa uhakika kabsa....misana ni 20000 huduma zake hazijatofautiana sana na keza+inano motel....zote hz zna parking kama una usafir bnafs na ulinzi ni wa uhakika
 
ninkweli unakuta lodge safi kabisa ambazo kwa dsm tunapigwa mpaka 35000
Ukisikia mwanza maisha ni nafuu bhasi jua hiyo ni moja ya nafuu zake ...
lodge ya 20000 mwanza town huwezi kuikuta kwa bei hiyo hiyo dsm

enjoy uwepo wako huko ingawa umeshanikumbusha Rock city..jiji la wastaarabu
 
niko zangu jiji letu la fujo nililalia safari tu siku hio
 
Miguu kumi ipo Nyakato mecco!!!!

Huo mtaa kuna lodge kibao .

Ukiamzia kona ya buzuluga unapita msalala guest house (kwa john nchembi) mwilu , neema , DV8, Bayachamo, unaingia Hanzi guest kwa Mashimba, unaenda mguu kumi . Unatokezea promise kwa kina sarabudi jirani na tekila bar kisha unakuja may day, Balele, ukitoka huko unakuja hapa palm inn unapanda shethemba unakuja bayachamo c, unasonga cheers kuna Ballack kisha Magoti guest jirani na kwao Musa ma used, unatelemkia Nundu shuleni unaikuta Upendo Guest house kisha lilian lodge jirani na Kanisa la RC.
Unarudi Kapama lodge . Bila kuisahau Sunrise jirani na kwa mzee Dumba .
 
Duh!

Mshikaji yaelekea we mwenyeji sana Mwanza.

Pendekeza basi loji nzuri karibu [within walking distance] na stendi ya mabasi Buzuruga.....

Natanguliza shukran.
 
Back
Top Bottom