hahaaaaaaaWewe kiboko! Nimekuvulia kofia
hahaaaaaaaWewe kiboko! Nimekuvulia kofia
Umekaa mwanza miaka mingapi?hahaaaaaaa
hahaahah mwezi mmojaUmekaa mwanza miaka mingapi?
Kwa mtaji huu wa kunidanganya wala si kuniongopea nimekasirikahahaahah mwezi mmoja
Nakufahamu Sana Na Ugonjwa Wako Naujua Na Dawa Yake Ipo Sasa Kama Unanidharau Mpaka Hapa OkeyUjielewi wewe
Wewe Unaionaje Kwani?koo 20,000 unaiona ya "matawi ya juu"??? nauliza tu![]()
Y mkuu![]()
![]()
![]()
naona umeamua kurahisishia hesabu ya magazijuto
Shinyanga hotel lumumba streetHabari
Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15
anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza.
Ahsanteni
HahahaaWanawake Bhana Usikute Unataka Guest Ya 6000 Ila Umejikaza Tu Kuropoka Ya Gharama Ili Uonekane Matawi Ya Juu
Unaonaje mm niwe mwenyeji utakula, utalala na kunywa bure, bado na pocket nitakutoa juu! Ndo raha ya kuwa na marafki!
Njoo mecco! Buzuruga!
ySi umeigawanya ili asipate tabu..![]()
![]()
![]()
NyegeziHabari
Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15
anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza.
Ahsanteni
Nshafika DarNyegezi
yes, nilipata Roca lodgeUmepata?

Huku kwetu tushazoea ,tushapigwa chabo hakuna kilichobaki.... nifanyie booking la 200k boss
Mtanzania mwema
AsanteeMAAJABU, hivi bado kuna watu wastaarabu namna hii hapa duniani? Nimesoma thread hii yote, nikairudia si kwa sababu nina majibu ya kukuelekeza Guest House nzuri huko Mwanza, hapana. Nimeshangazwa sana kwa jinsi ambavyo unawajibu watu kwa upole, hekima na unyenyekevu hata wale wanaoandika majibu ya ovyo. Sikujui bali ninaamini kwamba utafanikiwa sana katika maisha yako kama hujafanikiwa bado. Watu wa aina yako MWENYEZI MUNGU HAWAACHI WATAABIKE. UBARIKIWE SANA.