Guest/Lodge Mwanza

Karibu na nini? Hawa wako karibu kabisa na kituo cha mabasi kama unataka kulala hapo kwa ajili ya safari au utakuja umechelewa. Ila kama kweli uko serious inabidi uwapigie mapema kwa ajili ya kufanya "reservation" au kama watakuambia ufanye "booking" kwa empesa watakupa maelekezo. Kumbuka namba za kupiga ni 0757 955 901 MAGIDA GUEST HOUSE
Nikija Namie Mwanza Sitapata Tabu Kabisaaa
 
Njo kwangu naishi mwenyewe.

Hapa stend lodge na hotel nzuri nyingi karibu na shell barabaran kuna sliver lodge pemben barabaran kabisa kuna millenium hotel yaan ni kutembea na miguu. Zote ziko barabaran kuelekea town huna haja ya kuuliza zinaonekana nzuri sijui bei ila wenda ni hiyo 20 yaan zipo nyingi upande wa pili ya barabara kuu
 
Unalalaje Guest Ya 20k Au 15k. Mwishoni Utaishia Kupigwa Chabo Unavyooga. Hauna Mwenyeji??Pole Lakini Kama Huna Zaidi Ya Hiyo!
Huku kwetu tushazoea ,tushapigwa chabo hakuna kilichobaki.... nifanyie booking la 200k boss
Mtanzania mwema
 
Ukienda Mwanza uwe unalala sehemu kama Victoria annex,G & G kuna GJ na nyingine nyingi sana! Pia waweza jikakamua ukapata usingizi wako pale Golden Crest Hotel hata pia Mwanza hotel! Huku ukipata matunda fresh kabisa hapo pizzeria
 
Golden crest chumba kinaanzia bei gani mkuu?
 
Mkuu usiogipe jengo! Kuna siku nilipanda hadi ghorofa ya 8 hapo juu,kuna bar nzuri sana! Nikaagiza beer moja kutest ikaja bill ya 3000! Acha nizitandike zakutosha huku napata music safi Kabisa,watoto wakishua na Malaya wakimiminika kwa wingi! So unaweza pata chumba cha bei poa pia! Uliza hapo reception
 
Hata pegion pia anaweza kupata chumba na huduma zote km chakula, vinywji na mziki.
 
Mkuu usiogipe jengo! Kuna siku nilipanda hadi ghorofa ya 8 hapo juu,kuna bar nzuri sana! Nikaagiza beer moja kutest ikaja bill ya 3000! Acha nizitandike zakutosha huku napata music safi Kabisa,watoto wakishua na Malaya wakimiminika kwa wingi! So unaweza pata chumba cha bei poa pia! Uliza hapo reception
Asante sana mkuu. Nitajitosa siku nikitembelea Rock City.
 
Back
Top Bottom