Guest/Lodge Mwanza

Unalalaje Guest Ya 20k Au 15k. Mwishoni Utaishia Kupigwa Chabo Unavyooga. Hauna Mwenyeji??Pole Lakini Kama Huna Zaidi Ya Hiyo!
 
sawa ,wako pale karibu? na nyagezi
Karibu na nini? Hawa wako karibu kabisa na kituo cha mabasi kama unataka kulala hapo kwa ajili ya safari au utakuja umechelewa. Ila kama kweli uko serious inabidi uwapigie mapema kwa ajili ya kufanya "reservation" au kama watakuambia ufanye "booking" kwa empesa watakupa maelekezo. Kumbuka namba za kupiga ni 0757 955 901 MAGIDA GUEST HOUSE
 
Habari

Kwa yoyote anaefahamu lodge ya garama ya Tzs 20000/15
anifahamishe ,maeneo ya Nyagezi Mwanza.

Ahsanteni
Unaonaje mm niwe mwenyeji utakula, utalala na kunywa bure, bado na pocket nitakutoa juu! Ndo raha ya kuwa na marafki!
Njoo mecco! Buzuruga!
 
Wewe Ndiye Unajishushia Hadhi Kuuliza Guest Ya Kulala Humu Wakati Sehemu Uliyoko Kuna Watu Wengi Wakuwauliza Kama Ni Mgeni
Mkuu hata akiuliza humu sio mbaya naamini anauliza hivyo ili kupunguza cost akifika huko iwe rahisi kupata maelekezo
 
Back
Top Bottom