Guatemala: Kipengele cha Katiba yao kinafaa kuwepo kwetu pia

kheee jamani dunianai kuna mambo...sasa wanavunja hii kitu officially tu lakini nyuma ya pazia wanagongana au???

kwenye nyekundu, ndo inavyoonekana, kwani wakikutana huko wakati sio wanandoa , sheira inawkataza?
 
hawa hawataki kuvunja sheria bali wanachotaka ni madaraka yaendelee kubakia kwenye himaya yao. ila hii nayo kali!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
so akipata urahisi watafuta taraka??na je mume atamsaidia mke kwenye kampeni baada ya kuvunja ndoa!!!!hapa lazima wameshauriana kwanza!!na jamaa anaogopa kushtakiwa ndio maana kamwomba mkewe hata taraka tu wapeane ila wataendelea kugongana!
hawa hawataki kuvunja sheria bali wanachotaka ni madaraka yaendelee kubakia kwenye himaya yao. ila hii nayo kali!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii institution ya marriage mbona inachezewachezewa sana ku-suit conveniences za watu? anyway, kama wamekubaliana na mzee kwamba wa-divorce ili uraisi ubakie (technically speaking) ndani ya familia, it could be strategically OK, lakini kama mama ameamua ku-assert her independence, akaamua kusonga mbele whatever it takes, she would better calculate the high risks involved..
 
Mke wa rais wa Guatemala ameamua kuivunja ndoa yake ya miaka minane ili aweze kugombea urais.
Mahakama ya nchini Guatemala imeanza kusikiliza kesi ya mke wa rais wa Guatemala ambaye ameenda mahakamani kudai talaka ili kuivunja ndoa yake ya miaka minane na rais Alvaro Colom.

Mke huyo wa rais, Sandra Torres de Colom ameamua kuivunja ndoa yake ili aweze kuwania kiti cha urais ambacho mume wake atakiachia atakapomaliza muda wake mwezi septemba mwaka huu. Mume wake anamaliza miongo yake miwili ya uongozi na hataruhusiwa kugombea tena urais.

Sheria za Guatemala zinakataza watu wa familia ya rais kushiriki kwenye uchaguzi wa kugombea urais.

Sandra alitangaza wiki iliyopita kuwa atagombea urais mwaka huu kwa kupitia chama tawala National Unity for Hope party.

Kama rais Colom atakubali kutoa talaka kuivunja ndoa yake basi Sandra ataruhusiwa kisheria kugombea urais.
View attachment 25615
hivi ni taraka?au talaka?anyway hao wanacheza mchezo wa kuigiza.
 
Mke wa Rais wa Geutatemala Sandra Torres de Colom, ameamua kuivunja ndoa yake iliyodumu kwa miaka minane ili aweze kuwania kiti cha urais ambacho mume wake atakiachia atakapomaliza muda wake mwezi septemba mwaka huu. Mume wake anamaliza miongo yake miwili ya uongozi na hataruhusiwa kugombea tena urais.

Sheria za Guatemala zinakataza watu wa familia ya rais kushiriki kwenye uchaguzi wa kugombea urais.

Kwa kushirikiana na Mumewe wamefungua mahakamani keshi ya kuomba talaka hiyo
tarehe 11, March 2011 ili kufanihisha lengo hilo
kwa habari zaidi kongoli kwenye "web site" hapo chini

Guatemala Leader Divorces so Wife Can Run as President - Terra


JE HAYA NI MAPENZI YA KWELI AU TAMAA YA MADARAKA?
 
Back
Top Bottom