permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 10,026
- 11,220
Mkuu hiyo ni kawaida, ila ni lazima tuwe na standards.Hayo mavyeti tu mkuu ila kocha yule ni mzuri sasa huyo kocha wenu mbona wasudan walimtema na mi vyeti yake
Mkuu hiyo ni kawaida, ila ni lazima tuwe na standards.Hayo mavyeti tu mkuu ila kocha yule ni mzuri sasa huyo kocha wenu mbona wasudan walimtema na mi vyeti yake
Jamaa unaiogopa sana Yanga! Nakuombea huu uoga usiwaambukize wana familia wako!Nipe block itakusaidia
Pole sana kwa maumivu!Kama manara anatoa utu wake kiasi hichi na alichoongea leo basi ni kweli alikuwa anaihujumu Simba ,Hongera sana uongozi wa Simba msaliti ameonekana,anayehujumu timu ameonekana kwa matendo yake .Tuliona anaonewa na kujiliza kumbe unafki tu alikuwa anahujumu Simba