GSM kuweni na utu, msimfanye Haji Manara kama Msukule

View attachment 1930225
View attachment 1930248
View attachment 1930250
View attachment 1930262
Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera.

GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba Sc. Tunatambua nyinyi mlikuwa marafiki zake wakubwa hata kipindi akiwa Simba. Sasa urafiki gani huu usiojali utu na ubinaadamu.

Mnamtumia huyu ndugu kama msukule bila kujali utu wake mbele ya jamii?

Haya yanayoendelea yanaweza kumletea madhara makubwa zaidi kisaikolojia zaidi ya mvuta bangi. Msaidieni kiungwana,mbona kuna wapenzi wa Simba kama Ommy Dimpoz tunaona anatangaza bidhaa zenu bila kujihusisha na mambo ya Yanga? Tunzeni utu wa huyu ndugu anaoza ndani kwa ndani
Manara chizi, GSM machizi na leadership yote ya Yanga ni machizi tu!
 
Yani kila siku we ni kuanzisha uzi kuongelea yanga hivi huna jambo lingine lakuongelea kwenye mpira wa Tanzania?

Unaweza ukaiongelea hata mbeya kwanza au vifundo fc au hata ukaongelea mechi ya Jana ya coastal vs simba ya kirafiki ..... Kungelea Yanga kila saa kunaonesha jinsi gani ulivo na hofu na uwoga juu ya Yanga.
Soma vizuri kama kuna sehem kaongelea Yanga. au GSM ndio yanga siku hizi
 
Manara ni sawa mwanamke alieachwa ilhali bado alikuwa na upendo na mumewe,ndio sababu mnaona kila siku anaiongelea Simba kwa mabaya
 
Kama manara anatoa utu wake kiasi hichi na alichoongea leo basi ni kweli alikuwa anaihujumu Simba ,Hongera sana uongozi wa Simba msaliti ameonekana,anayehujumu timu ameonekana kwa matendo yake .Tuliona anaonewa na kujiliza kumbe unafki tu alikuwa anahujumu Simba
Alivyokuwa ana apa kuwa hawezi kuihujumu Simba, nilikuwa ninamuamini nikiamini kuwa ameshiba DINI. Kumbe mmmmmmmm!
 
View attachment 1930225
View attachment 1930248
View attachment 1930250
View attachment 1930262
Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera.

GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba Sc. Tunatambua nyinyi mlikuwa marafiki zake wakubwa hata kipindi akiwa Simba. Sasa urafiki gani huu usiojali utu na ubinaadamu.

Mnamtumia huyu ndugu kama msukule bila kujali utu wake mbele ya jamii?

Haya yanayoendelea yanaweza kumletea madhara makubwa zaidi kisaikolojia zaidi ya mvuta bangi. Msaidieni kiungwana,mbona kuna wapenzi wa Simba kama Ommy Dimpoz tunaona anatangaza bidhaa zenu bila kujihusisha na mambo ya Yanga? Tunzeni utu wa huyu ndugu anaoza ndani kwa ndani
Ata issa azam amerud kushabikia simba uku bado anatangaza products za azam.
 
Yani they fall into a trap very easily. Sasa washageuka talking about Yanga kila saa kila muda, hawahangaiki tena na ya kwao.

Kwahiyo kuongelea Yanga kila mara ndiyo mafanikio yenyewe? Nilidhani mafanikio ni uwanjani ma si kuongelewa.Uto kwanini akili zenu mmempatia Manara afikirie kwa niaba yenu?
 
kwann simba ndio wanateseka sana na mishe za manara baada ya kuondoka simba? Tafadhari simba plus mwamed mkiachwa mjifunze kuachika japo hua inachukua muda kidogo kuzoea
Mpuuzi yule ndo anateseka na simba aongelee misukule yenu huko na ya simba atuachie uone km tutakua tunamjibu.Dawa ya mnafiki ni kumpa ukweli tu mpaka anaweweseke ..na yanga mlivo mandezi mnaona km mnajenga kumbe mmekumbatia bomu.
 
Manara kwa sasa ana amani ya roho na ndio ameanza kusema ukweli wote. Simba ilivyokuwa inapambwa utafikiri hata Madrid haingii kwa Simba, kumbe ni kitimu ambacho hakiwezi kuvuka robo fainali za Africa.
HahaaaaaWw tangu uzaliwe mpaka sasa ulisha wahi iona hiyo timu yako imefika robo fainali Na utazeeka mpaka unakufa hutasikia huo uchafu wako umefika robo .....Aibu ya kukubeba tunaisubiri jumapili
 
Kwahiyo kuongelea Yanga kila mara ndiyo mafanikio yenyewe? Nilidhani mafanikio ni uwanjani ma si kuongelewa.Uto kwanini akili zenu mmempatia Manara afikirie kwa niaba yenu?
Ukiitwa Kolo useme unatukanwa na kumbe you really are.

The more you talk and discuss about something, the more it trends. Na katika this digital world, trending is worthy, bongolala. Na ndo maana huyo unayemwongelea ana endorsements huko kwa social media platforms. Why? Sababu anaongelewa, watu wanatembelea pages zake. So wewe ukiwa unamwaga matusi, yeye anaingiza pesa.
 
anajitahidi sana ajibiwe na Babra au Mo,walivyompotezea ndo anaumia zaidi maana anakosa mileage ya kiki
Yaani babra kweli yule ni mwanamke shupavu na mda unavozidi kwenda atajivua nguo maana tiyari kasema hakuwahi kua simba sasa sijui ule ulikua ni msukule.
 
View attachment 1930225
View attachment 1930248
View attachment 1930250
View attachment 1930262
Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera.

GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba Sc. Tunatambua nyinyi mlikuwa marafiki zake wakubwa hata kipindi akiwa Simba. Sasa urafiki gani huu usiojali utu na ubinaadamu.

Mnamtumia huyu ndugu kama msukule bila kujali utu wake mbele ya jamii?

Haya yanayoendelea yanaweza kumletea madhara makubwa zaidi kisaikolojia zaidi ya mvuta bangi. Msaidieni kiungwana,mbona kuna wapenzi wa Simba kama Ommy Dimpoz tunaona anatangaza bidhaa zenu bila kujihusisha na mambo ya Yanga? Tunzeni utu wa huyu ndugu anaoza ndani kwa ndani
Aa njomba chi alitaka chai chacha mwache atajua nanna ya kuipoja
 
HahaaaaaWw tangu uzaliwe mpaka sasa ulisha wahi iona hiyo timu yako imefika robo fainali Na utazeeka mpaka unakufa hutasikia huo uchafu wako umefika robo .....Aibu ya kukubeba tunaisubiri jumapili
CUF washapiga za chembe humo, kumbe Simba na mdomo wenu wote huo timu inafundishwa na mwalimu wa UPE.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 msukule wa mautopolo

Back
Top Bottom