GSM kuweni na utu, msimfanye Haji Manara kama Msukule

Jamaa inaonyesha ukilala tu linakujia jinamizi lenye taswira ya haji na ghalib
 
Kama manara anatoa utu wake kiasi hichi na alichoongea leo basi ni kweli alikuwa anaihujumu Simba ,Hongera sana uongozi wa Simba msaliti ameonekana,anayehujumu timu ameonekana kwa matendo yake .Tuliona anaonewa na kujiliza kumbe unafki tu alikuwa anahujumu Simba
Pole sana kwa maumivu!
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom