Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,750
- 37,397
Wale wamiliki wa Home shopping centre Danube na baby shop wanatuhumiwa kujenga nyumba kwenye eneo la bahari
dada punguza wivu wenzako wanashibia hapo
Wale wamiliki wa Home shopping centre Danube na baby shop wanatuhumiwa kujenga nyumba kwenye eneo la bahari
Wakienda na hati wana ichukua, alafu nyumba inabadilishiwa mahukumu,, ila haita vunjwaNdo nilikua najiuliza na mie. Wakienda na hati ndo itakua haipo tena baharini au?
DaaaahWakienda na hati wana ichukua, alafu nyumba inabadilishiwa mahukumu,, ila haita vunjwa
Stendi ya Mwanza ya daladala ukimkuta dereva wa zamani atakupa yote
Wakati si mileleHapo ni enzi za "honeymoon" yake na GSM! Huyu jamaa kama superwoman Joyce KiriaView attachment 742030
Don't underestimate them watamblast to the fuvking end... Unamwaga mchuzi namwaga ugali.Makonda na yeye atadaiwa risiti ya safari zake na hao jamaa.
sheria ipo wazi ILA mpaka jengo linajengwa mamlaka husika ziko wapi?au ndio yale yale mihemko,tuanzie ile Tulip Hotel lile ni sehemu ya hifadhi ya bahari,mchungaji yule wa kike akakimbilia siasa je hekalu lake lilivunjwa?ingawa jirani zake walivunjiwa,its not a rocket science kufurika kwa mto msimbazi kumesababishwa kwa kiwango kikubwa kwa watu wenye majina yao waliojenga pale mikokoni karibu na daraja la slender ila tunajifanya hili hatulioni,na tunachokifanya na kuwavunjia walala hoi kule juu ,wakati njia asili ya mkondo imeathirika na ujenzi huu wa mahekalu pale mkondo unapoingia baharini.tutasubiri sanaKwani Sheria ya mazingira inasemaje juu ya uvamizi wa maeneo ya hifadhi?
Mange anadai wanabifu tayari!Hawa si wana urafiki na yule mwenye mkoa kwa hiyo hakuna tatizo
Kwa hiyo hilo jumba au kasri lilijengwa in the course of a single night from the ground up to fully Danube furnished luxurious pallazo sometime this week.
Wamejenga hospitali ya mama na mtoto na inaitwa Paul Makonda Hospital sasa wanatakiwa wajenge misikiti